Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mimi huwa sipendi kuangalia ongoing ila huwa nafanya exceptions kwa drama ambazo siwezi kusubiria hadi ziishe. The good bad mother nipo episode ya pili, it's really good.
Nimempenda huyu mke wa village head [emoji1787][emoji1787] muda wote yuko na mask usoni mpaka sasa sijafanikiwa kuona sura yake. Nimependa hiyo line, imenifikirisha sanaView attachment 2659433
Nimeangalia mpaka nane bado sijaiona sura yake
 
Ila Numbers mule tuliokimbia Mathematics na Accounts tunapelekwa mbio sana.
Kuna term za kihasibu sana mfano Bad loan,hii inanikumbusha kwenye Misaeng utumiaji wa maneno ya ununuzi na ugavi bahati nzuri walikuwa wanayatolea maana baadhi ya maneno.
Nilkuwa sijui wahasibu professionally wanaitana Teacher 😁
 
Huu msimu kama vimeshuka vyuma vingi had mnanichanganya[emoji4]

Jana nimeshusha celebrity na king the land
 
Kuna term za kihasibu sana mfano Bad loan,hii inanikumbusha kwenye Misaeng utumiaji wa maneno ya ununuzi na ugavi bahati nzuri walikuwa wanayatolea maana baadhi ya maneno.
Nilkuwa sijui wahasibu professionally wanaitana Teacher [emoji16]
Ilipoishia last week inaelekea kuwa moto Girlfriend wa Han Seung Jo ametua na identity mpya anataka kupambana na dingi yake jamaa.

Kama unavyojua kwa thriller zilivyo mbali na battle za akili kuna kumwagana damu kitu ambacho Seung Jo anahofia Jang Ji Soo asije kudhurika maana dingi yake ni very scary.

Naona Ijumaa haifiki haraka
 
Wewe una kitonga...unadownload vipi drama mbili kwa siku

[emoji1787] kuna sehem ya wi-fi huwa naendaga
Nashuuusha

Siku nyingine huwa na i post simu ikadowldiwe drama[emoji1787][emoji1787]

Mb 300 mateso na zinavyokata
Na nna weekly variety kuanzia mb 700 huko
 
[emoji1787] kuna sehem ya wi-fi huwa naendaga
Nashuuusha

Siku nyingine huwa na i post simu ikadowldiwe drama[emoji1787][emoji1787]

Mb 300 mateso na zinavyokata
Na nna weekly variety kuanzia mb 700 huko
Hizo dawa kitonga cha asubuhi siku hizi sioni tabu kubeba episode ya drama kwa mb hata 500
 
Back
Top Bottom