Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kabisa
Ingekua tofauti

Msimu ule ulikua na kidudu yani ukijichanganya tu knetz wana ku bust

Wamemshindwa tu villain wa vagabond
Maana hadi kwenye queenmaker katokea na hauna namna zaid ya kukubal zile role zinamfit (a real life villain)
Mzee kashindikana yule sema na Kim Seon Ho naye almanusra yamkute bahati nzuri watu wengi walikuwa upande wake
 
Huyu kijana Jung-yun kajua kunikera aisee anampoteza Ji-woo kizembe sana.

Hata kama ni introvert mtoto wa kiume miaka 20 huwezi kuweka feelings wazi kwa msichana ni tatizo sana aisee.

Dogo neno "saranghae" kwake zito?[emoji23][emoji23]


Hapa tusubiri huruma tu maana Ji-woo kaamua kumcancel ukizingatia kuna wavulana wengine kama watatu wanammendea halafu mmoja anapenda ila yupo kama zoba
 
kwamba wanafanana
Mbona hata zile humour zao ziko tofauti
Ingawa Na inwoo alijitahid sana

Nilifatilia ikiwa ongoing FL alikua ashaeka bond na first ML unaona alivyopata tabu kuji adjust
Nimerudi tena kupitia baadhi ya episode ni huyoyo In woo kaanza na kumaliza. Although hii drama ukiitazama ni kama main Character ni yule Princess maana imemuonesha zaidi Princess hata kuliko mwamba mwenyewe. Ingawa jamaa kajitahid. Huyu In woo nilimwona nadhani kwenye Shine or Be Mad na Mr. Queen. Huyo main main Character ambaye sijamuina kwenye hii drama nakumbuka huyo sura kwenye Drama ya Strong Woman Bong Su.
 
Ndio wanafanyaga hivyo washenzi wale...hata bae wa talnam walimtaimu kipindi kile home town chachacha ndio ya moto imetoka jikoni. Sema hawa Korean celebrity watushukuru sana sisi international fans...tunawasaidia sana kupaza sauti, sisi tunachotaka kazi zao mambo mengine hayatuhusu tofauti na huko nyuma mtu akiibua skendo ndio mwisho wa msanii. Bila sisi watu kama Kim seon ho, Seo yeaji, Kim jung hyun n.k tulikuwa tayari tumeshawazika kwenye ulimwengu wa burudani

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Sema K-Netz wana mambo flani hivi ambayo yanaweza kukuacha speechless nikikumbuka walivyoichomolea betri Joseon Exorcist nachoka sana
 

Amesema hajawah kutongoza (mwanzon kabla ji woo hajaja alikua ananichekesha)

We unavyoona ji woo ataweza kumpotezea
Ona ile michozi maana ilibid nicheke

Mi nlidhan ndo wale ma popular kazi kucheza na akili za wanaume ila kumbe kamzimikia mchizi

Jung hyun handsome sana
Ungemsema ji min anavyosusa susa ingawa nimeipenda condition alompa ye rin
 

Anhaa
Kumbe walibadili kweli
Mi niliendelea hivy hivyo tu
 

Usinikumbushe[emoji24]
Yan kama namuona alivokua mpole Vile
Alipoteza deals kibao shwt bae[emoji2960]

Nimeona ana movie sijui drama mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…