princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
yes kwa wanawake ,mimi napenda utunzi wake halafu wanazipatia hizo sound pa kuziweka....umenikumbusha drama ya shine or go crazy.
kiukweli Ailee amejaaliwa sauti nzuri.
ujue movie ikiwa haina soundrack nzuri inapoteza mvuto kidogo.
kwa mfano siku zote kwangu Gu family book itabaki kuwa best historical kdrama kwangu kwa sababu... Story ilikua nzuri sana, sio kama zile unakuta mwanaume ameng'ang'ania mwanammke ambae hampendi na yeye anapendwa na mwingine, Gu family iko different... Cast iko perfect
ila zaidi ya yote soundrack za mule ni kali kuliko nilizowahi kuzisikia hasa Ya The one... imetulia halafu wanaiweka mahala panapohitajika waweza kulia[emoji24][emoji24][emoji24]
The one ana sauti mpaka anaogopesha