Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Mimi napenda Historical sana tu..kuna tofauti kati ya kumpenda mtu na kupenda movie zake. Mfano Chang wook napenda muvi zake ila yeye mwenyewe walaaa, ila ukimpenda mtu kama yeye na muvi zake lazima uzipendeana nyota[emoji23], halafu wengi hawapendagi historical na watu wagumu.
mimi napenda mapanga ndo mana nawapenda marshals
akina anold,rambo walishaniathiri kisaikolojia[emoji23][emoji23]