Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Roho imeniuma mimi hawa
Sijajua huko mbele,ngoja tusubiri
Nimeingia adi website ya mbc kucheki next itatoka lini[emoji1787]
Kwa huko kwao nimeona hii ndo drama inatrend kwa sasa
Hii drama inasumbua sana akili, maana kile unachotaka kiwe, hakiwi. Sikutegemea kama Lady Gil Chae angeolewa na yule Officer kirahisi vile.Ngoja tuone episode inayokuja kutakiwa na matukio gani.


Ukiacha King the Land, ni kweli kwasasa hii ndio drama inayotrend huko Korea.
 
Sema hii drama sad ending haikwepeki MBC wanajua kututesa mioyo.
 
Kinachoniumza zaidi ni kwamba
Episode inayofata ni mpaka mwezi wa 10
Drama imenibamba adi nimemfollow huyo main cast namkoong sijui anaitwa🤣🤣🤣🤣,
Nimekuta huyo wananchi hawaelewi gilchae kuwa na police officer,watu wanaomboleza
 
Mvaa Kobazi halafu kumbe walio igiza Mr sunshine, Wana series Kali Aisee🤒.
👉Nime muona msaidizi was gun do mae- Kwenye river when the moon rises.
Waliogiza Mr Sunshine wengi ni A-list actors mara nyingi wanapewa lead roles kwenye drama zao Kim Taeri, Kim Ji-won,Lee Byung-hun, Byun Yo-han, Yoo Yeon-seok.

Wakati inatoka ilikua most expensive Kdrama wakati huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…