Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kweli mzee Kuna kipindi Fulani kakae yule Bang Ga yule wa nne kuzaliwa(bang won yeye ni WA Tano)

Alionesha tamaa awe mfalme hahahah

Akakusanya wanajeshi wake eti akapambane na BANG won mdogo wake.

Tatizo jamaa hakuwa na AKILI ZA KUTOSHA sijui kwa kwasababu hakuwa msomi sana kama BANG won.

Akamtuma mwanae eti akampige mshale Bang won hahahahahah

Alitaitiwa akaishia kubana Kila kona na dogo bang won akampa onyo braza wake ole wake "ole wako urudie siku nyingine... Nitasahau kwamba sisi ni ndugu.. nitakuwa"

Wakaishia kumuogopa dogo wao Bang Won mabraza wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hi Ina itwaje Mac Alpho, Mangungo II
 
Hii six flying dragon? Au king of tears
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…