Ya nini kutakalamu,
Kwa jambo lisilokuwa,
Utahadhari na mwiko,
Wakati wa kupakua,
Ukitaraji makoko,
Chungu utakitoboa.
Muhogo wa Jang'ombe,
Sijauramba mwiko,
Usitukane wakunga,
Na uzazi ungaliko.
Hii Arthdal Chronicles
Imefanya sasa nihamie upande wa mapanga rasmiii
My Dearest inarejea kesho
Ila dah ni heartbreaking sana yaliyomkuta Gil Chae tuone atatoka vp kwa haya matatizo.
Ila yule mwanamke wa Qing bounty hunter ni katili sana kwa nilvyoona katika sekunde kadhaa za trailer
Yaah, japo episode ya kwanza ilinikata mood kidogo, kutokana na characters wa s1 wengi hawapo ila maingizo mapya wametendea haki.Unatizama s2?
Yaah, japo episode ya kwanza ilinikata mood kidogo, kutokana na characters wa s1 wengi hawapo ila maingizo mapya wametendea haki.
Innocent Defendant naitafuta bila mafanikio, unaweza kunipa link ninakoweza kuipata??Ila Anza na innocent defendant Ndio namba moja hapo mkuu utaenjoy action na story kali yenye mtiririko mzuri wa matukio, ndani ya hiyo drama pia kuna matumizi ya akili.Ni drama yenye package iliyoshiba hata hizo zingine ni kali pia na zina story kali lakini Innocent defendant Ndio baba lao
Nenda nkiri.com andika defendant utaikutaInnocent Defendant naitafuta bila mafanikio, unaweza kunipa link ninakoweza kuipata??
Tunaoangalia The Escape Of The Seven tupeane experience
Kali sana sitaki kukumalizia uhondo we endelea nayo.Hii nime download
Nimetizama ep 1
Ila kiukweli kuona wale watu wa penthouse ikabid ni pose[emoji1787]
Nahis makjang nyingine
Vipi kastori kake huko mbele
Kali sana sitaki kukumalizia uhondo we endelea nayo.
Halafu pia tumeletewa mambo yetu kuna dating show nyingine ya wanafunzi teenagers inaitwa Blossom With Love bado mpyaaa!
mashairi hayahusiani na chochote kinachohusu JF zaidi ya kumbukizi nzuri za muziki huu wa taarab asilia.
elewa neno kuhusiana " kwa sauti ya mzee wa kaliua"
==============
tafadhali usijigambe kama nakupenda sana,
si ukweli hata chembe, uongo unaonena.
unavyotaka jipambe, siridhiki kwa kuonaaaaa.....
sitouchezea wembe, unikate najionaa.
kwangu mimi si rahisi, moyo nimefunga sana
wameshindwa waliopasi, wazuri kila aina
wote hutangaza basi, hutangaza najiona
wakorea wa loliondo muniache na uswahili wangu.
I AM HAPPY
View attachment 2783116
Hivi saa hizi kuna kitonga gani aisee maana hatariNitaianza peke yake,
Saivi natizama destined with you
Hiyo variety mapema tu leo niende kwenye kitonga
Nilikua busy na I am solo, aisee nimefanikiwa kuwa nao sambamba
Hivi saa hizi kuna kitonga gani aisee maana hatari