Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ya nini kutakalamu,
Kwa jambo lisilokuwa,
Utahadhari na mwiko,
Wakati wa kupakua,
Ukitaraji makoko,
Chungu utakitoboa.

Muhogo wa Jang'ombe,
Sijauramba mwiko,
Usitukane wakunga,
Na uzazi ungaliko.
 
Ya nini kutakalamu,
Kwa jambo lisilokuwa,
Utahadhari na mwiko,
Wakati wa kupakua,
Ukitaraji makoko,
Chungu utakitoboa.

Muhogo wa Jang'ombe,
Sijauramba mwiko,
Usitukane wakunga,
Na uzazi ungaliko.

Kamfunge kamfunge
Beberu wa Athumani.
Umfunge umfunge
Mahala panapo jani.
Endae tezi na Omo
Atarejea Ngamani.


Enhee stori yahusu nini Babu
 
My Dearest inarejea kesho

Ila dah ni heartbreaking sana yaliyomkuta Gil Chae tuone atatoka vp kwa haya matatizo.

Ila yule mwanamke wa Qing bounty hunter ni katili sana kwa nilvyoona katika sekunde kadhaa za trailer

Nilikua nishasahau maumivu ya hawa watu
Hawa viki hawatupei kwa jumlaa
Imagine folen ya kutizama ep mbili mbili
 
Baada ya kukaa nayo zaid ya mwaka ndo nimeweza kuitizama all of us dead na kuimaliza na kuipenda
 
Yaah, japo episode ya kwanza ilinikata mood kidogo, kutokana na characters wa s1 wengi hawapo ila maingizo mapya wametendea haki.

Na mimi niliitazama ep 1 nikajisikia vibaya ingawa nimeshusha za kila wiki
Bora vipande vya eunsom ila Tanya dah

Wacha ni imagine ni mpya tu
 
Ila Anza na innocent defendant Ndio namba moja hapo mkuu utaenjoy action na story kali yenye mtiririko mzuri wa matukio, ndani ya hiyo drama pia kuna matumizi ya akili.Ni drama yenye package iliyoshiba hata hizo zingine ni kali pia na zina story kali lakini Innocent defendant Ndio baba lao
Innocent Defendant naitafuta bila mafanikio, unaweza kunipa link ninakoweza kuipata??
 
Wale wa "My dearest" kupunguza arosto kujua itaishaje unaweza angalia movie ya "Gone with the wind" au soma novel yake yenye jina sawa.

My dearest ni remake ya hii novel/filamu maarufu.
Poster_-_Gone_With_the_Wind_01.jpg
 
Tunaoangalia The Escape Of The Seven tupeane experience

Hii nime download
Nimetizama ep 1
Ila kiukweli kuona wale watu wa penthouse ikabid ni pose[emoji1787]

Nahis makjang nyingine

Vipi kastori kake huko mbele
 
Hii nime download
Nimetizama ep 1
Ila kiukweli kuona wale watu wa penthouse ikabid ni pose[emoji1787]

Nahis makjang nyingine

Vipi kastori kake huko mbele
Kali sana sitaki kukumalizia uhondo we endelea nayo.

Halafu pia tumeletewa mambo yetu kuna dating show nyingine ya wanafunzi teenagers inaitwa Blossom With Love bado mpyaaa!
 
Kali sana sitaki kukumalizia uhondo we endelea nayo.

Halafu pia tumeletewa mambo yetu kuna dating show nyingine ya wanafunzi teenagers inaitwa Blossom With Love bado mpyaaa!

Nitaianza peke yake,
Saivi natizama destined with you

Hiyo variety mapema tu leo niende kwenye kitonga
Nilikua busy na I am solo, aisee nimefanikiwa kuwa nao sambamba
 
mashairi hayahusiani na chochote kinachohusu JF zaidi ya kumbukizi nzuri za muziki huu wa taarab asilia.
elewa neno kuhusiana " kwa sauti ya mzee wa kaliua"
==============
tafadhali usijigambe kama nakupenda sana,
si ukweli hata chembe, uongo unaonena.
unavyotaka jipambe, siridhiki kwa kuonaaaaa.....
sitouchezea wembe, unikate najionaa.

kwangu mimi si rahisi, moyo nimefunga sana
wameshindwa waliopasi, wazuri kila aina
wote hutangaza basi, hutangaza najiona


wakorea wa loliondo muniache na uswahili wangu.
I AM HAPPY

View attachment 2783116

Mi hapo mgeni
Basi enjoy

Unatizama street woman fighter?

Kuna kajimbo ka leserrafim humo kamedensiwa noma,
hako ndo ringtone ya kichwa
 
Nitaianza peke yake,
Saivi natizama destined with you

Hiyo variety mapema tu leo niende kwenye kitonga
Nilikua busy na I am solo, aisee nimefanikiwa kuwa nao sambamba
Hivi saa hizi kuna kitonga gani aisee maana hatari
 
Back
Top Bottom