Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hivi hii ni drama gani.? Maana nilivyosikia habari za Moving nikaenda kukutana na drama iliyojaa fantasies, watu wanaopaa, wasiokufa. Ndio hiyo au kuna nyingine..?
Ndiyo hiyo korean avengers
 
Reactions: Lax
Wakuu natamani kupata hata k-drama yenye scene ya sex mwanzo mwisho
Huwezi kupata.

Kwa sababu hizi dramas zinaoneshwa kwa TV tena public na zinaangaliwa na familia hauwezi kuwekwa uchafu kama huo.

That's why rating yake ni miaka 15,kukitokea steamy kisses na violence na bloodsheds kadhaa husogea miaka 19 ila sex scenes hazina nafasi.
 
Worst of evil
sijui ni mimi pekee ndiye ninayeshidwa kuendana na hizi Tastes za korea drama zilizotengenezwa kimuundo wa kimagharibi.

kadri nikiziangalia hizi drama nahisi kuna kitu nakikosa, korea drama zinazoonyeshwa na vituo vya korea zina ladha ya upekee na zimeshaniathiri....

imagine unaangalia drama hupati kusikia hata mdundo wa OST.
ebooh!

by the way, hiyo drama ni nzuri kiupande fulani japokuwa mpaka leo nimeshindwa kuimaliza.
ningelikuwa mwalimu ningeliipa 7.5/10
action scenes ni 👊👊🤛🤲👏👏
 
kuna nyakati nilikuwa sitaki hata kuiona sura ya lee jong gi, nikajilazimisha niwe na bashsha kadri ninapoiona sura yake ili nipate kufaidi kazi zake na hatimaye niliangalia ILJIMAE, baada ya hapo kila kitu kikawa rahisi kwangu
  1. Iljimae
  2. scarlet heart ryeo
  3. joseon gunman
  4. lawless lawyer
  5. the flower of evil
  6. arthdal chronicles
  7. scholar who walks the night
  8. arang and the magistrate (teh teh hii nilikuwa siipendi ila nikapambana nayo, sipendi hadithi za mizimu)
 
Mambo ya taste
 
Mi hapo mgeni
Basi enjoy

Unatizama street woman fighter?

Kuna kajimbo ka leserrafim humo kamedensiwa noma,
hako ndo ringtone ya kichwa
huko unakofika mwenzako nitalazimika kuvua viatu vyangu vya ndara.
mambo ya kupita kwenye zulia jekundu nayakhofia
street woman fighter ndio nini mwalimu?
 
Wengi tunapenda kdrama kwa sababu hayo mambo hakuna au yapo kwa uchache.
Sio unaangalia series mtu akipita kwenye pc inabidi upaise maana hujui itafata scene gani
Hata mimi nimeacha kufuatilia wazungu hizi single movies zao kea sababu ya maudhui ya ngono kupenyezwa na kukosa maadili ya kuangalia na watoto hata watu unaowaheshimu.
 
Chuma nilizo tazama Mwaka huu, mpaka Sasa kwa upande wa Korea.
👉Mr sun shine,
👉Alchemy of souls
👉River where the moon rise
👉Big mouth
👉Scarlet heart- namalizia saa hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…