Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hivi hii ni drama gani.? Maana nilivyosikia habari za Moving nikaenda kukutana na drama iliyojaa fantasies, watu wanaopaa, wasiokufa. Ndio hiyo au kuna nyingine..?
Ndiyo hiyo korean avengers
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Wakuu natamani kupata hata k-drama yenye scene ya sex mwanzo mwisho
Huwezi kupata.

Kwa sababu hizi dramas zinaoneshwa kwa TV tena public na zinaangaliwa na familia hauwezi kuwekwa uchafu kama huo.

That's why rating yake ni miaka 15,kukitokea steamy kisses na violence na bloodsheds kadhaa husogea miaka 19 ila sex scenes hazina nafasi.
 
Worst of evil
sijui ni mimi pekee ndiye ninayeshidwa kuendana na hizi Tastes za korea drama zilizotengenezwa kimuundo wa kimagharibi.

kadri nikiziangalia hizi drama nahisi kuna kitu nakikosa, korea drama zinazoonyeshwa na vituo vya korea zina ladha ya upekee na zimeshaniathiri....

imagine unaangalia drama hupati kusikia hata mdundo wa OST.
ebooh!

by the way, hiyo drama ni nzuri kiupande fulani japokuwa mpaka leo nimeshindwa kuimaliza.
ningelikuwa mwalimu ningeliipa 7.5/10
action scenes ni 👊👊🤛🤲👏👏
 
Wakuu vipi Gunman in Joseon ni kali ? maana ninayo kwenye simu episode chache kuna kipindi niliiIgnore baada ya kuona mvaa mashuka na muvi ya pori kuna mambo ya Gun ,nimeanza kuangalia rasmi episode za mwanzo nimeanza kuvutiwa nayo na kutamani kuendelea kutizama.
kuna nyakati nilikuwa sitaki hata kuiona sura ya lee jong gi, nikajilazimisha niwe na bashsha kadri ninapoiona sura yake ili nipate kufaidi kazi zake na hatimaye niliangalia ILJIMAE, baada ya hapo kila kitu kikawa rahisi kwangu
  1. Iljimae
  2. scarlet heart ryeo
  3. joseon gunman
  4. lawless lawyer
  5. the flower of evil
  6. arthdal chronicles
  7. scholar who walks the night
  8. arang and the magistrate (teh teh hii nilikuwa siipendi ila nikapambana nayo, sipendi hadithi za mizimu)
 
sijui ni mimi pekee ndiye ninayeshidwa kuendana na hizi Tastes za korea drama zilizotengenezwa kimuundo wa kimagharibi.

kadri nikiziangalia hizi drama nahisi kuna kitu nakikosa, korea drama zinazoonyeshwa na vituo vya korea zina ladha ya upekee na zimeshaniathiri....

imagine unaangalia drama hupati kusikia hata mdundo wa OST.
ebooh!

by the way, hiyo drama ni nzuri kiupande fulani japokuwa mpaka leo nimeshindwa kuimaliza.
ningelikuwa mwalimu ningeliipa 7.5/10
action scenes ni 👊👊🤛🤲👏👏
Mambo ya taste
 
Mi hapo mgeni
Basi enjoy

Unatizama street woman fighter?

Kuna kajimbo ka leserrafim humo kamedensiwa noma,
hako ndo ringtone ya kichwa
huko unakofika mwenzako nitalazimika kuvua viatu vyangu vya ndara.
mambo ya kupita kwenye zulia jekundu nayakhofia
street woman fighter ndio nini mwalimu?
 
Wengi tunapenda kdrama kwa sababu hayo mambo hakuna au yapo kwa uchache.
Sio unaangalia series mtu akipita kwenye pc inabidi upaise maana hujui itafata scene gani
Hata mimi nimeacha kufuatilia wazungu hizi single movies zao kea sababu ya maudhui ya ngono kupenyezwa na kukosa maadili ya kuangalia na watoto hata watu unaowaheshimu.
 
Kilingeni 2023: Nilijipangia kupunguza ulevi kwa asilimia kubwa sana na mpaka sasa nashukuru naendelea vyema. Muda kama huu miaka ya nyuma ningelikuwa nimeshakunywa takribani chupa 50 au zaidi za vinywaji tofauti.

DRAMA
  1. my dearest (inaendelea)
  2. arthdal chronicles (completed)
  3. song of bandits (completed)
  4. the worst of evil (hii nitaimaliza)
  5. the killing vote note (hii nitaimaliza, panapo uhai)
  6. bloodhounds (completed)
  7. chief kim (completed)
  8. bossam steal the fate (completed)
  9. oasis (completed)
MOVIE
  1. hansan: rising dragon
  2. admiral: roaring currents
zote mbili zinakupa hadithi ya vita ya Imjin (ikimuangazia zaidi admiral yi soon shin)

PENDING (NIMEISHIA NJIANI)
  1. romantic doctor season 3

NASUBIRIA
  1. goryeo khitan war
  2. castaway diva (nimekuwa mlevi wa park eun bin, jamani ndiye my crush wangu..... hairuhusiwi kumsema vibaya)

MUIGIZAJI WANGU BORA KWA SASA
  1. Namgoong Min - mwanaume
  2. Seo Hyu Jin - mwanamke

VETERANI BORA KWA SASA
  1. Lee Geng Young

🎸🎸mimi si mlevi tenaaaa!!!!!🎙️🎷🎷
🎶🎶nikilewa sijikojolei kama zamani🎶🎵
🎻🎻mimi ni mnywaji tu.🥁🎹🎼
🎸🎸🎼 sinywi tena maji mengi kama samaki🎶🎼🎸🎺🎷
Chuma nilizo tazama Mwaka huu, mpaka Sasa kwa upande wa Korea.
👉Mr sun shine,
👉Alchemy of souls
👉River where the moon rise
👉Big mouth
👉Scarlet heart- namalizia saa hizi
 
Back
Top Bottom