Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nitapaswa kutembea KM ngapi ili nifike kwao:-
koncho77
Hziyech22
Han Kyul
talnam
Numbisa

Mpemba kadandia boti ya bakharesa, kaja kushangaa maghorofa ya darisalama na miili mikubwa ya wasichana.

Jioni hii nimejaribu kunyoosha miguu mpaka mwenge stendi ya gari, nimechoka.

Kilichonishangaza ni kuona barabarani kunachomwa half cake kila baada ya masafa mafupi.

Ila nyie wajinga muna linchi kubwa mnoo,
 
Kaka twende goguryeo
 
Kaka twende goguryeo
Goguryeo imeshajifia...
china wamechukua pande lao
korea kaskazini wamechukua pande lao
russia wamechukua lao
mongolia wamechukulia lao


hiyo nauli ya kutembelea maeneo yote hayo nitaitolea wapi?
ikiwa safari ya darisalama nimedandia boti ya kake baharesaa!!!
 
Mpemba kafika dar, Katafuta urojo wee kakosa maandazi anaita half cake jamaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Njoo koromije kila kituo utakutana na wauza miwa,wauza maembe haya yanapatikana koromije pekee bila kusahau mahindi ya kuchoma na ya kuchemsha
 
Mpemba kafika dar,
nimefika kweli jiji la tafrani na kupigwa vikumbo njiani.
Katafuta urojo wee kakosa maandazi anaita half cake jamani
urojo nimeambiwa niandae mwenyewe, huku watu wanajua chapati, maandazi ya mafuta na hizo half cake nilizoziona kila barabara niliopita tena zinapikwa na wavulana wa DAR.
Njoo koromije kila kituo utakutana na wauza miwa
Inshaallah, ngoja niombe likizo huko mbeleni.
nitafute hela nyingiii
nipande ndegeee
safari ya basi itanishinda
koromije pekee bila kusahau mahindi ya kuchoma na ya kuchemsha
mahindi yenyewe munayachemsha kwa maji ya ziwa viktoria beckam.
siyatakiiiiii!!!!
 

Sasa Mbona umenipita hapo
Umekimbilia kote huko rudi nyuma kidogo


[emoji16] umekuja na nin, halua? Tende? Vanila ama karafuu, mikono mitupu hupokelewi
 
December imefika huu mwezi ndo ntaangalia series,
Ila nimesikitika nataka kudownload hii goryeo khitan war kumbe ni ongoing
 
Kimoitv siku hizi wanariiingaaa full mizunguko
 
[mention]Han Kyul [/mention] nimeyavagaa mambo ya kutafuta dating show

Nikajikuta nimeshusha ep 10
Kuingia ndani kumbe BL[emoji24]

Nilikuta iko recommended sana youtube among best kdating za mwaka huu sikupata akili ya kutafsir lile jina

Nimefungua ep ya kwanza sioni wanawake ya pili mmnh

Dah astakhfirullah za kutosha huku nafuta
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapa adui katoa mbinu ya kuangamizwa maana jamaa alimuweka target adui kisha akalemba jamaa akapindua meza baadae. Ila nimependa msemo wake kuwa " The moment you hesitate your target will have disappeared"
Your browser is not able to display this video.


Baada ya gemu kuchange jamaa aliutumia vyema ushauri kapiga chuma kwa hasira sana kama Intelligent businessman anavyopiga chuma wapiga vizinga wasimtoe kwenye reli
Your browser is not able to display this video.

..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…