Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

I mean no malice to nobody 🤣😂😂@adriz .
👉Chuma Ina season 2 hiyoo, nime sikia lakini.
👉Kuhusu vizinga, sitaki kujua😂🤣🤣
 
Inaitwaje jina isije ikawa ulichanganya mafile!

Mimi kabla ya kuiangalia show huwa natumia Mydramalist kuangalia tags zake kama kuna upuuzi au hamna
 
Inaitwaje jina isije ikawa ulichanganya mafile!

Mimi kabla ya kuiangalia show huwa natumia Mydramalist kuangalia tags zake kama kuna upuuzi au hamna

Nitakua na dalalia Mungu anisameh
Hisman2

Yan hata kutafsir hicho kizungu cha his na Man akili haikuja
 
Vigilantee nimeimaliza nzuri
Saiv napambana na ongoing ms park’ contract marriage

My demon sikujua kama nitaifurahia hivi maana nlivoona wamemremba sana so kang ho, na FL humour anaziwezeaa
 
Huwa una madini mengi Sana kwenye hii sector.
 
Hawa jamaa huwa wana script zilizoenda shule, waigizaji hawaongeiongei hovyo bila mantiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…