Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hawa jamaa huwa wana script zilizoenda shule, waigizaji hawaongeiongei hovyo bila mantiki.
Kitu ambacho kinachonivutia zaidi kwa wakorea jinsi mazungumzo yao ni madini tupu hata yawe ya kuchekesha maneno mazuri kama wamemezeshwa ndio maana nikicheki huwa nafuatilia subtitles jino kwa jino.
 
We unatakapo Moto Mimi nimepata jana kwa mwanangu nikajua hakijasambaa Leo nipo kijiwe fulani kimemkuta Wana wanapeana mchongo huo ,nikajisemea moyoni kama imefika kusambaa stage hqkitofika mbali ..
Shusha mapazia Sasa😆🤣😂, nikupe list?? Mvaa Kobazi kitonga Cha ha tunnel hiki😆🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…