Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Kijana kwenye hii sector umeiva sasa, hii ni moja kati ya taratibu nyingi za kikorea. Unapochekeshwa ama kutaniwa wakati ukiwa na kitu mdomoni ni lazima uweke gesture ya kupaliwa kidogo.😂Kaka ume nifanya niteme maji niliyo kuwa nakunywa😂🤣🤣