Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hii ni balaa yule Ha Jeong ni kiboko anaonekana ni playgirl na ile style yake ya kubend shingo huku anakata jicho flani[emoji23][emoji23]

Kahuni sana kale
Ila Gwan hee hajakubali zile swagg maaana anaona mihemko mingi

Sijui wakiingia huko swimming pool itakuaje
 
dah Chief siku nyingi sana kwema humu ndani?
 
Wengine wivu tu au ushamba. Kuna siku tigo walijisahau wakaachia internet bure kwa siku mbili, comments za mitandaoni sasa mpaka utasikitika akili za wabongo. Pia humu humu JF jukwaa la technology kuna jamaa alitangaza anauza file kwa sh 5000.
Hivi hii huwa ni kuumia wenzao kupata mserereko ama nini? Na kwa mazingira hayo, wanaofanya hivyo ni user wa mitandao mingine.
 
Kuna hii Single movie Smuggler

Kuna kitu cha welcome samdalri
My demon
Story of parks contract marriage

Wakorea wametubless hii end of year
Yani hii my demon inanichekesha balaa
Wale walotaka kumpiga demon wakaishia kucheza tango yani wamenimaliza kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Yani hii my demon inanichekesha balaa
Wale walotaka kumpiga demon wakaishia kucheza tango yani wamenimaliza kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani ni drama tamu sana
Na zile lights imenoga tango
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…