Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

talnam aisee Gwan-hee akaingia kwenye 18 za wanawake kwa kujikuta keki acha wamsengenye pembeni ile discussion angeisikia angejinyonga[emoji23][emoji23]

Unavyoniumiza roho ep mbili zishanipita
Nilikua na hamu nione wakichanganyika
 
NImeshusha episodes za dramas nyingi tu na sijapata kukutana na hata moja ambayo iko dubbed kutoka hiyo site.

Jaribu kushusha hata ka episode ujionee..
Sawa Kaka, nime i save hiyo post.
👉Sipendi tamthilia zikiwa dubbed, landa za pale star Kung Fu- maana hazinaga subtitles
 
Kuna drama nyingi zinanipita wakati huu dah kila kinachoongelewa hapa najikuta mgeni
My Demon
The Story Of Park's Marriage Contract
My Man Is Cupid
Welcome To Samdal-ri
Goryeo-Khitan War
Tell Me That You Love Me
Single's Inferno 3(Varirty Show)
Soundtrack #2(Completed)
Night Has Come(Completed)

Hakuna niliyoskip hata moja naenda nazo sawa zote
 
Upo vizuri, hapo hata moja sijaangalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…