Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Khitan war naenda nayo sambamba maana ina character wawili nawapenda sana....
Though sikuona necessity ya gay emperor, was happy alivyouliwa
 
Khitan war naenda nayo sambamba maana ina character wawili nawapenda sana....
Though sikuona necessity ya gay emperor, was happy alivyouliwa

Imebidi nielewe labd asingekua gay kusingekua na ule mgogoro mwanzo ulopelekea empire

Ila waliifanya too much kwa wakorea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…