Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

  1. The gangster, the cop, the devil
  2. The outlaws - 2017 - part 1
  3. The roundup - 2022 - part 2
  4. The roundup: no way out -2023 - part 3
Funga mwaka yangu imeangukia kwa Don Lee.
Kama unahitaji movie zenye matukio ya kihuni, uharamia, ukatili, spana, ngumi jiwe, panga shingoni.

Jaribu hizo, hutojutia muda wako.
Weekend murua.

 
Hivi ratiba ya inferno ipoje
Maana nna kazi ya ku refresh page[emoji2]
Kilq Jumanne

Halafu Exchange 3 ina heartbreak aisee hasa ex couple ya jamaa aliyekuwa ana hali ngumu kifedha kiasi kwamba akaanza kimpush away girlfriend wake ikafikia hatua jamaa ili aachwe tu akamwambia gf wake kuwa hampendi.

Spoiler kidogo chini mtoto wa kike akitoa mkasa
 

Mnnh mambo ya ha eun
Alaf hapa possibility ya kurudiana huwa kubwa

Hii inaanza lini
 
Mnnh mambo ya ha eun
Alaf hapa possibility ya kurudiana huwa kubwa

Hii inaanza lini
Kuna couples almost 2 naamini zitarudiana humu maana hawajamove on kabisa hasa bibie flani ambae ashawahi kuwa kpop idol analia kwa uchungu sana

Ishaanza toka juzi ila kule dramacool haipo ipo viu
 
Kuna couples almost 2 naamini zitarudiana humu maana hawajamove on kabisa hasa bibie flani ambae ashawahi kuwa kpop idol analia kwa uchungu sana

Ishaanza toka juzi ila kule dramacool haipo ipo viu

Ngoja nisubir wakiileta dramanice
 
Kuna couples almost 2 naamini zitarudiana humu maana hawajamove on kabisa hasa bibie flani ambae ashawahi kuwa kpop idol analia kwa uchungu sana

Ishaanza toka juzi ila kule dramacool haipo ipo viu

Ila hii watu wanakuwaga real
Alaf wengine huwa kama wame move on ila wakikaa karib unakuta mapenzi yanaanza

Hao wakulia lia ndo wakwanza kupata mababy wapya[emoji1787]

Wananchekesha vi model vya inferno yan unaona kabisa ni marketing strategy had akisimama anapinda, shingo sasa

Japo si eun atasahau kichompeleka sabab ya min woo
 
Ila Ha-jeong namhurumia amedata kwa red flag Gwan-hee yule mwamba hajui ni nini anataka kabisa.

Sema yule mtoto Min-ji dah kama malaika aisee acha tu Gwan-hee achanganyikiwe maaa yupo crossroad kwa wanawake watatu[emoji23]
 
KBS DRAMA AWARDS 2023
Usiku wa leo kwa saa za korea Legendary Choi Soo Jong ameshinda tuzo ya daesang (grand prize) kwa mwaka 2023, hii itakuwa ni mara ya nne kushinda tuzo hiyo.

The Legend of Ambition - 1998
Taejo Wang Geon - 2001,
Dae Jo yeong -2007.

Choi ameshinda tuzo hiyo baada ya miaka 16 kupita tokea abebe tuzo kama hiyo kupitia tamthilia ya DAE JO YOUNG.
Choi ameshinda tuzo hiyo kwa mwaka 2023 kupitia drama inayoitwa GORYEO- KHITAN WAR inayoendelea kuonyeshwa kila jumamosi na jumapili ambapo ameigiza uhusika wa General Gang Gam Chan.

licha ya kuwa wanaume, choi soo jong na Kim Dong-jun (ameigiza uhusika wa mfalme )wameshinda tuzo ya best couple

Muandishi Lee Jung Woo (ameandika goryeo khitan war) amebeba tuzo ya muandishi bora, mwaka jana aliandika Taejo Lee Bang won drama

hongera kwa washindi
hongera ahjussi choi
 

2023 SBS Drama Awards​

lee Je hoon kupitia taxi driver drama na mwanadada Kim Tae Ri kupitia Revenant drama kwa pamoja wameshinda tuzo ya Daesang.
hongera kwao.
huu mwaka nimeangalia drama moja tu ya SBS.

 

2023 MBC Drama Awards​

kama ilivyotarajiwa kwa mwaka huu, muigizaji namgoong min ameshinda tuzo ya daesang (grand prize) kupitia my dearest drama. Itakuwa ni mara ya pili kwa namgoong kushinda tuzo hiyo kupitia kituo cha MBC ambapo mwaka 2021 alishinda tuzo hiyo kupitia tamthilia ya the veil.
Namgoong pia aliwahi kushinda tuzo ya Grand prize mnamo mwaka 2020 kupitia drama ya STOVE LEAGUE iliyoonyeshwa na kituo cha SBS

drama hiyo (my dearest) pia imeshinda tuzo ya drama bora ya mwaka na best couple.
 
kilingeni 2023
  1. Oasis drama
  2. dr. romantic 3 drama
  3. goryeo - khitan war drama
  4. my dearest drama
  5. bloodhounds drama
  6. song of bandits drama
  7. the killing vote drama
  8. chief kim drama
  9. big mouth drama
  10. arthdal chronicles 2
  11. partners for justice 1 drama
movies
  1. The Admiral: Roaring Currents
  2. Hansan : rising dragon
  3. The gangster, the cop, the devil
  4. The outlaws
  5. The roundup
  6. The roundup: no way out
Performance : 3/10
Nashukuru nimefikia malengo niliojiwekea.
Ni jambo la kujipongeza

Happy New Year
 
Ila Ha-jeong namhurumia amedata kwa red flag Gwan-hee yule mwamba hajui ni nini anataka kabisa.

Sema yule mtoto Min-ji dah kama malaika aisee acha tu Gwan-hee achanganyikiwe maaa yupo crossroad kwa wanawake watatu[emoji23]

Kwani nyie mnaonaje
Gwan hee sioni kama kadata na muhun Min ji
Naona anataka kurudisha majeshi kwa No 1

Sasa yule M bu san anataka kujichangaya kwa Mi nji na katoto kanaonesha kahuni arud tu kwa mlimbwende wake japo sijui atafanikiwa maana anakaziwa
 

Hahahha perfomance na hiyo shukran

Unanikumbusha natizama 21 25
Kale ka ji woong alivyobaki na ko yu rim kwenye page ya peke yao wakiwa wa mwisho darasan

Et anafurah majina yao yamepata nafasi kubwaaa [emoji1787] ya kujiachia


Hizo movie zote sijaona em nifanye jambo chap
 
talnam wameshakusogezea huko dramanice.

Sema mi nilishaipakua telegram bila subtitles nikadownload subtitles za kuattach.

Kaangalie tuje tuchambue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…