Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kaangalie tuchambue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kuna watu mnajua uchokozi kwa tusiofatilia ongoing hamu imeisha
Na wewe isogelee utazame tamu sana hii variety show japo inakuwaga na heartbreaks kadhaa [emoji38]

Bila kusahau January hii kuna drama mpya almost 10 lazima tuzipitie tunaanza na Marry My Husband leo
 
Nilivuta hadi episode 4 bado sijaangalia ila kitonga kimekata na Wtune inazingua nipo idle kwanza najipanga. Ila naenjoy zaid family dramas
Na wewe isogelee utazame tamu sana hii variety show japo inakuwaga na heartbreaks kadhaa [emoji38]

Bila kusahau January hii kuna drama mpya almost 10 lazima tuzipitie tunaanza na Marry My Husband leo
 
Kaangalie tuchambue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani kuna watu mnajua uchokozi kwa tusiofatilia ongoing hamu imeisha

Uzuri wa dating show hata iwe spoiled vipi bado haikat hamu

Ona hapa tunatazama lakin kila mtu na mtazamo wake

Jaman
 
Na wewe isogelee utazame tamu sana hii variety show japo inakuwaga na heartbreaks kadhaa [emoji38]

Bila kusahau January hii kuna drama mpya almost 10 lazima tuzipitie tunaanza na Marry My Husband leo

Kile ulipost juu
Ni kitonga?

Unazid kutoa assignment

Hapa tigo ndo wame activate pack si ntamaliza kudownload[emoji26]
 
Nilikuwa napenda sana kusikiliza ile OST ya My Dearest Painted In The Moonlight ya Miyeon,kuna ile akiiperform kwenye MBC Drama Awards juzi nimefall nayo zaidi
 
Hapa nimekuja kujua huyu mwanamama wa under the queens umbrella na wa coach wa 25 21 ni watu wawil tofaut

Nilikua nadhan amefanya surgery[emoji16][emoji16]
 
Hapa nimekuja kujua huyu mwanamama wa under the queens umbrella na wa coach wa 25 21 ni watu wawil tofaut

Nilikua nadhan amefanya surgery[emoji16][emoji16]
Halafu mbona hawafanani hata kidogo
 
Drama zilizotazama 2023
The Devil Judge
Adamas
Boar Hunter
The river where moon rises
The Great merchant
The Merchant Gaekju
Goryeo Khitan war ( nipo episode 3)
Hii "Goryeo-Khitan war" nimeaianza leo jioni baada ya kuona recommendation kutoka kwa DAEMUSIN, nipo episode ya tatu so far naiona ni nzuri.

Sema nimekereka sana kwenye hayo mapinduzi.
 
Nilikuwa napenda sana kusikiliza ile OST ya My Dearest Painted In The Moonlight ya Miyeon,kuna ile akiiperform kwenye MBC Drama Awards juzi nimefall nayo zaidi
Hivi na mimi nitakuja kufika huku kwenye kufuatilia Drama awards? Kumbe bado nipo mbali sana kwenye hii tasnia,
 
KBS DRAMA AWARDS 2023
Usiku wa leo kwa saa za korea Legendary Choi Soo Jong ameshinda tuzo ya daesang (grand prize) kwa mwaka 2023, hii itakuwa ni mara ya nne kushinda tuzo hiyo.

The Legend of Ambition - 1998
Taejo Wang Geon - 2001,
Dae Jo yeong -2007.

Choi ameshinda tuzo hiyo baada ya miaka 16 kupita tokea abebe tuzo kama hiyo kupitia tamthilia ya DAE JO YOUNG.
Choi ameshinda tuzo hiyo kwa mwaka 2023 kupitia drama inayoitwa GORYEO- KHITAN WAR inayoendelea kuonyeshwa kila jumamosi na jumapili ambapo ameigiza uhusika wa General Gang Gam Chan.

licha ya kuwa wanaume, choi soo jong na Kim Dong-jun (ameigiza uhusika wa mfalme )wameshinda tuzo ya best couple

Muandishi Lee Jung Woo (ameandika goryeo khitan war) amebeba tuzo ya muandishi bora, mwaka jana aliandika Taejo Lee Bang won drama

hongera kwa washindi
hongera ahjussi choi
View attachment 2858908
Aliigiza vyema sana kama Goong Book kwenye Emperor of the sea
 
Hivi na mimi nitakuja kufika huku kwenye kufuatilia Drama awards? Kumbe bado nipo mbali sana kwenye hii tasnia,

[emoji1787][emoji1787] mbali kuelekea wapi na unatizama had wachina

Mi pia huko sijafika sabab nyingi hazikua na subtitle

Mwaka huu wameweka mapema
 
Buddha bado anasimama upande wangu[emoji847][emoji16]
Screenshot_20240102-090834.jpg
 
Back
Top Bottom