Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Bado sana kutoka kama unavyojua Netflix either ni mwaka huu mwishoni ama mwakani
Kuna season ambazo nilisubiri mwendelezo wake hadi nikachoka, VAGABOND, ALL OF US ARE DEAD na hata hii nakubaliana na wewe inaweza kuja 2026 huko..!
 
Kuna season ambazo nilisubiri mwendelezo wake hadi nikachoka, VAGABOND, ALL OF US ARE DEAD na hata hii nakubaliana na wewe inaweza kuja 2026 huko..!
All Of Us Are Dead ilitakiwa itoke mwaka huu ila wiki iliyopita production team ikatangagza imesogeza mbele hadi 2025.

Vagabond hiyo haijulikani itarejea lini sidhani hata kama filming imeshaanza nadhani ile Corona kuingia iliathiri kila kitu.
 
Mkuu naomba list ya mchina kama 2 hivi kali niteleze nazo weekend, fantasy zao ziwe kwa uchache sana (zisipokuwepo itafaa zaidi[emoji1787])
Chinese naangalia sana romance na business,historical nzuri sijabahatika kutazama sana ila kuna Wonderland Of Love ni nzuri ,pia kuna The General's Lady.

Ukitaka recommendations nzuri kuna mwamba Mac Alpho ni mdau sana anazijua
 
Goryeo khitan war drama:

Remember the name, Gang Gam Chan.
nakumbuka miaka nane iliopita humu ndani ulikuja mjadala,

yupi muigizaji mkuu bora wa kiume kwa upande wa historical drama kati ya choi soo jong na song il kook.
ndani kulikuwa na memba anazijua hadithi za three kingdoms utadhani yeye ndiye muandishi wa samguk sagi na samguk yusa

siku zinatembea kwa kasi ya mwanga, sijui nime-achieve lipi kubwa zaidi la kujivunia na kujitapa kama bwana yule aliyejenga nyumba ya ghorofa yenye swimming pool juu kama malaika wa mvua.

kheri ya mwaka mpya.
wengine bado tuna maruweruwe na huu mwaka
 
Huyu bibi (90yrs) nampenda sana, kwasababu sauti yake, mapozi yake ya uongeaji, kimo na tembea yake ni 80% ya bibi yangu.

Kubwa zaidi ana kipaji kikubwa sana.
unamaanisha bibi yako bado ni mrembo na anapaka makeup mfano wa huyu?

kumbe mwenzetu una bibi bomba.
nipe namba yake ya simu tafadhali.
nipiganie mirathi dhidi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…