Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mpaka sasa nimeishia episode 24( zingine bado hazijatoka)

Hii Goryeo Khitan war Drama imenifurahisha.
Choi soo jong anazidi kuonesha kuwa yeye ni baba wa historical drama. Mzee wenu( Boo Deuk Bool) a.k.a waziri wa Buyeo anaziweza sana fitna.
Mwamba aliyecheza kama Yang Kyu ametisha sana. Kifupi humu ndani kila mmoja katisha sana. Lile limwamba Xiao Paiya( kamanda wa Khitan) linasura ya kikatili ila linaakili pia. Halafu huyu mfalme aliyepinduliwa mtoto wa Empress Chunchu anaonekana alikuwa kweli anashiriki mapenzi ya jinsia moja. Maana hata kwenye drama ya Empress Cheonchu pia amechorwa hivyo pia.
Nilichogundua watoto wasiku hizi ndio wanaharibu drama. Cheki chuma kama hii imefanywa watu wa kazi imesimama dede. Kifupi nimejihisi kama nipo 2015 kurudi nyuma maana dude limeiva.
Hahah Gang Gam Chan na Mkewe wanavituko sana.
Anyway nyie watu wa ongoing drama ndio mnatesekaga hivi?!
 
talnam inahitajika miujiza na mazungumzo ya kina kuokoa at least couple moja ama mbili za Exchange 3

No doubt almost wote wana lingering feeling ,ia communication issues ndio tatizo kubwa sana wanaume wa round hii wazembe too much kujieleza ila wanajikuta wataalamu wa mambo kwa kukimbilia relationship mpya kisa watu wapya hawawezi kujua flaws zao just kwa wiki chache wanazospend wote.
 

Hapo ya hwiyun na hye won tu nae tangu nijue umri wake, akakue kwanza venye bado hata hela hakana hapaswi kumsumbua hyewon wangu


Nikijibu hili tokea ep 8 [emoji24]
Na nimeona leo ep 10 jaman siku ya kuzitazama khee
 
Hapo ya hwiyun na hye won tu nae tangu nijue umri wake, akakue kwanza venye bado hata hela hakana hapaswi kumsumbua hyewon wangu


Nikijibu hili tokea ep 8 [emoji24]
Na nimeona leo ep 10 jaman siku ya kuzitazama khee
Umri sio ishu kuna yule dogo wa season 1 aliyekuwa na miaka 21 akadate na mwanamke mkubwa kwake miaka 6,dogo alikuwa na matured mind sana kiasi kwamba wanawake wote mule walikuwa wanamkubali kwa sababu hata wakiwa nae wanajihisi wapo na mkubwa mwenzao hawaoni gap kabisa.

Sasa huyu Hwihyun bila shaka upumbavu ni jadi yake halafu tangu ajijue yeye ndio Maknae kundini basi anajikuta mtoto kweli.

Hyewon ndio anaeteseka maana si kwa kumpenda kule ukizingatia kabla ya kuwa nae karibu alikuwa anammezea mate kwa miaka miwili akaamue ajitose kwa kijana.
Wakirudiana sio mbaya ila wataachana tena kwa sababu zilezile but dogo akiwa dumped itakuwa lesson kubwa kwake kwenye future yake.

Halafu anataka kudate na mtu kama Seokyung[emoji23][emoji23]
Anafikiri kila mwanamke ni Hye Won kwamba atampenda unconditionally na flaws zake kama zote tena Seokyung ana pride si kitoto dogo atakuja kujinyonga bure.

After all kumbe Sang Jeong sio ex wa Kwang Tae,nilitaka kushangaa ucheshi wote ule, vibe na energy yake kama yote neno I love you limshinde
 
Nipo nacheki hili picha najihisi namuangalia Gilidongwaaaaaaaa au six flying dragons
 

Ah yule kama Mtu mzima jaman
Hata mi nili m crush

Alikua anamdekeza jaman, sent from heaven kabisa yule.
 
Ah yule kama Mtu mzima jaman
Hata mi nili m crush

Alikua anamdekeza jaman, sent from heaven kabisa yule.
Tukirudi kwa Changjin hana interest na yoyote zaidi za ex wake,anahitahi ujasiri mkubwa ili kumrudisha Yu Jung kwenye himaya yake alifanya mistake japo sio kubwa kutomshirikisha kwenye matatizo yake but naelewa hakutaka kuonekana dhaifu kama mwanaume.

Alitaka kubadili kazi ili aweze kuachieve zaidi bila shaka alianza kufikiria permanent future yao ukizingatia miaka yake ni 32 sio mtoto tena.

Anapaswa kuzungumza nae mtoto wa kike na kumlainisha moyo hasa kama dhamira yake hapo kabla ilikuwa kama hiyo juu itafanya taratibu Yi Jung aondoe kinyongo.

Kukosa usingizi na kulia baada ya kuwaona na Dahye wakipiga story hadi alfajiri ni dalili kuwa bado anampenda ila ni hasira zimejaa rohoni juu yake as you know wanawake wana visirani[emoji23]

Zile season 1 na 2 niliziangalia kwa raha kwa sababu zilikuwa complete ila season 3 kwenda nayo hii ongoing inafanya mtu uwe exhausted kama wewe ndio participant[emoji38]
 
Sasa nafuatilia Slave hunters nipo episode ya 20 nakaribia kumaliza huku nimeanza Iljimae..

Avatar ya mkorea nilikuwa najiuliza ni mwamba gani nikaja kumona sasa kwenye Slave hunters ni mkali Daegil.
the slave Hunter, Jang hyuk huyoo.
👉Kampenda Dem kwa zaidi ya miaka 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…