Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

12.12: The Day
The film is set against the backdrop of the 12 December 1979 military coup from the late 1970s to early 1980s. It was released theatrically on November 22, 2023 and became the highest-grossing Korean film of 2023.
After President Park's assassination, martial law is declared. Security commander Chun Doo-gwang (Hwang Jung-min) and the officers who follow him stage a coup. Lee Tae-shin (Jung Woo-sung), a stubborn commander of the Capital Garrison Command who believes that soldiers should not take political action, fights against Chun Doo-gwang.

As the conflict between the two men grows, the military leaders postpone their decisions, and the Minister of Defense disappears. In this chaos, spring in Seoul, which everyone longs for, heads in an unexpected direction.
============
Hii movie imejaza A list actors upande wa tasnia ya movie
Hwang Jung-min, Jung Woo-sung, Lee Sung-min, Park Hae-joon and Kim Sung-kyun n.k
1707832441725.png
 
Sijaangalia sina kitonga hapa namudu kutazama show za nkir kwa bundle la kununua angalau
Dah mi sina stress kabisa nashusha vitu

Yule bwana mdogo akizingua now haji kupata mwanamke anayempenda bila kuangalia status wala flaws unless akija kuwa successful baada ya kumaliza masomo na kupara kazi ila currently mwanamke atayedate na yule dogo akimvumilia hata miezi 3 basi maajabu.

Ana ujinga mwingi halafu anataka kila kitu aanze kufanya girlfriend wake kuanzia kumtext n.k
 
We haya tu msaada wako ni kutoa spoiler tu

Ngoja niendelee kutafuta namna
 
Wale wa captivating the king…niliwaza uhusika wa lee ik jun utamganda nashukuru kani prove wrong

Huyu FL ingawa simuelewag acting yake ila nimegundua Sauti yake ina nguvu mno na ya pekee

Knight flower [emoji108]
 
Ulimkataa kwenye Arthdal
 
We haya tu msaada wako ni kutoa spoiler tu

Ngoja niendelee kutafuta namna
Ulishawahi kumtafuta kwa waziri mkuu (PM)?

Huenda anahofia wadau wataleta uswahili utakaopelekea kitonga kisitishwe kama ataweka maujanja hadharani
 
Ulimkataa kwenye Arthdal

Hadi leo sijaitazama lakin six flying dragon nilimuelewa, mpaka niliposoma coment section dramanice alaf nikaianza arthdal nikaona habadilik kweli ikaniboa, Ukichangia nampendaga sana FL wa mwanzo yule

CTK pia niligundua yupo vile vile, ila kama kawaida nikakuta diss zake za kutosha ila watu wachache walisema wanamtazama sababu ya uzur na sauti. Kweli sauti yake imefanya nii enjoy drama

We fikiria anavyorembwa kujidguise na uanume, hayupo serious ila drama kali ML bhana confession zake anajua san
 
Ulishawahi kumtafuta kwa waziri mkuu (PM)?

Huenda anahofia wadau wataleta uswahili utakaopelekea kitonga kisitishwe kama ataweka maujanja hadharani

Huyo hadi ananichokaga namsumbua

Atakua anatumia cha maofisin labda
Kikiwepo anatoa…

Nomba maelekezo ya kujiunga na kile cha halotel mie kinagoma bado japo lain inaonyesha kipo
 
Waikiki 1 nimefanikiwa kuimaliza bado season 2 ,now najivuta na jumong mpaka niimalize hii
 
Wale wa captivating the king…niliwaza uhusika wa lee ik jun utamganda nashukuru kani prove wrong

Huyu FL ingawa simuelewag acting yake ila nimegundua Sauti yake ina nguvu mno na ya pekee

Knight flower [emoji108]
Naipenda sana hiyo drama but nimeanza kuwa na stress naona kama kuna sad ending.

Nampenda sana Shin Se Kyung na macho ya aibu,fanboy feels[emoji7][emoji7][emoji38][emoji38]
 
Mwenye link ya hii series ya kikorea afanye kushare hapa.
"The Cursed Prince" ya 2023.
 
Hiyo drama haipo. Utakuwa umeiona kwenye vibanda umiza...leta picha ya waigizaji wakuu
Wanaoangalia za kutafsiriwa wana tabu sana wanawekewa majina ya kipuuzi.

Kwa contents za drama za mwaka jana bila shaka anaisemea hii Our Blooming Youth ya Park Hyung Sik kama sio hii basi anapaswa kupambana kivyake
40a80a02-476a-45a7-bbef-97ea97973e88-sixteen_nine.jpg
 
Back
Top Bottom