Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ndo uli kuwaga ugonjwa wangu, story Kama the queen of gorrila ya shigongo.
02, roses and guns,
 
Ndio hizo tu halafu changamoto nyingine sina device nyingine zaidi ya Simu katika harakati zangu ,hivyo series zinakuwa kauka nikuvae futa kuweka nyingine na sio kuhifadhi nyingi kwa wakati mmoja.
Hapo sawa, Nina PC Ina tb 1 miksa zime jaa z kikorea, kichina na kizungu.
👉 External ime jaa🤣😆
 
Picha ilianza kuoga kuanzia hapa ,yaani jamaa alijua kila kitu na kurudi kizazi zaidi. Kama Six flying dragon picha iliAnza amsha amsha baada ya Lee Bang Ji kumuua kiongozi huku Le banga Won alishuhudia kwa mbali.
 
Ukiona series yeyote ya Wazee wa mashuka na Aya action halafu hakuna kipande hata kimoja Kuna mwamba kaoigilia hivi basi jua hapo umepigwa hapo sawa sawa Tu na kucheki Moorin School
 
Mimi Wakorea Tu wazungu naona kama nacheki Katuni Bora wachina.
Wachina Wana vyuma vikali, sword snow stride, joy of life (tuna subiri season 2 Mwaka huu).
03, Noble aspiration, blood youth,
04, journey to love, sword dragon sabre.
05, the sword of the white goat cave, Nirvana in fire.
 
Picha ilianza kuoga kuanzia hapa ,yaani jamaa alijua kila kitu na kurudi kizazi zaidi. Kama Six flying dragon picha iliAnza amsha amsha baada ya Lee Bang Ji kumuua kiongozi huku Le banga Won alishuhudia kwa mbali.View attachment 2911339
Lile picha (Six flying dragon) limesukwa vizuri sana.

Kuna ile salamu walikuwa wanasalimiana kama code kwenye kile kikundi cha kimafia, ukijipenyeza kisha usalimiwe na ushindwe kujibu ujue shingo sio yako.
 
 
Wachina Wana vyuma vikali, sword snow stride, joy of life (tuna subiri season 2 Mwaka huu).
03, Noble aspiration, blood youth,
04, journey to love, sword dragon sabre.
05, the sword of the white goat cave, Nirvana in fire.
Mimi sipendi zile zao za mauchawi na marangirangi panga linavutwa na mkono nk

Kuna moja Wachina na Wajapan, wachina awanataka wakomboe nchi Yao kuna polisi mchina anafanya kazi katika Serikali ya Wajapan anaitwa Kung_Fei ndio star anafanya harakati kisirisiri kusaidia ukombozi hiyo Kali sana na naitafuta ila sijui jina lake coz nilicheki kwa mshikaji ikiwa imetafsiriwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…