Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Kaka mwamba Jang hyuk kaki washa mno humo.Nimemaliza Slave hunters, nimepata series nyingine inaitwa "Shine or Go Crazy" kitonga nimekuta kuna mwamba anayo mwanzo mpaka final ila ya kutafsiriwa nimeiweka nilicheki.
Intelligent businessman ushacheki hilo kigongo ninachocheki now ?
Sija kupinga Kaka, nakubali Sana series za porini.Wewe basi haufuatilii vyuma pori maana maAssasin au manyamela lazima wavae hivyo kwenye mission zao.
Mimi mara ya kwanza Jang hyuk nimemuona kwenye hii niliyoimaliza slave hunters kama Deagilinga ,mule nilimkubali sana ukichaa wake na humu bado anapigo hizo hizo anaishi na mkewe kama anaishi na msela wake mpaka mtangazaji alipomuona tu akasema huyu mwamba tunae na huwa hana akili vizuri kama kapagawa..Kaka mwamba Jang hyuk kaki washa mno humo.
Yaani uchizi wake ndo Ume onekana humo, ana piga Huku ana cheka😂.
Kifupi ni 🔥🔥🔥 adriz
Arrgh yaani adriz bado una kula chakula kwa kuhadithiwa😂🙄.Mimi mara ya kwanza Jang hyuk nimemuona kwenye hii niliyoimaliza slave hunters kama Deagilinga ,mule nilimkubali sana ukichaa wake na humu bado anapigo hizo hizo anaishi na mkewe kama anaishi na msela wake mpaka mtangazaji alipomuona tu akasema huyu mwamba tunae na huwa hana akili vizuri kama kapagawa..
Hii drama niliangalia episode moja ikawa inaniboa nikaachana nayo... baadae nilivyomjua Jang hyuk nikaangalia drama zake nakuta ipo na hiyo aisee nilirudi kwa speed nahisi drama nzima niliimaliza kwa siku mbili[emoji1787][emoji1787]Nimemaliza Slave hunters, nimepata series nyingine inaitwa "Shine or Go Crazy" kitonga nimekuta kuna mwamba anayo mwanzo mpaka final ila ya kutafsiriwa nimeiweka nilicheki.
Intelligent businessman ushacheki hilo kigongo ninachocheki now ?
Fated to love you, uliiona?Hii drama niliangalia episode moja ikawa inaniboa nikaachana nayo... baadae nilivyomjua Jang hyuk nikaangalia drama zake nakuta ipo na hiyo aisee nilirudi kwa speed nahisi drama nzima niliimaliza kwa siku mbili[emoji1787][emoji1787]
Arrow in the bow stringMimi sipendi zile zao za mauchawi na marangirangi panga linavutwa na mkono nk
Kuna moja Wachina na Wajapan, wachina awanataka wakomboe nchi Yao kuna polisi mchina anafanya kazi katika Serikali ya Wajapan anaitwa Kung_Fei ndio star anafanya harakati kisirisiri kusaidia ukombozi hiyo Kali sana na naitafuta ila sijui jina lake coz nilicheki kwa mshikaji ikiwa imetafsiriwa.
Yes..hii ndio ilinifanya nikarudi Shine or go crazyFated to love you, uliiona?
Alchemy of Souls - 2022Naomba list ya Korean drama ambazo ni recently yaani walau kuanzia 2020 hadi sasa
Asante, ngoja nzitafte popote zilipoAlchemy of Souls - 2022
The King: Eternal Monarch - 2020
The Good Bad Mother -2023 (hii kama una roho ndogo utalia sana)
From Now on, Show time -2022
Hahaha walewajinga, Kina Jung Ki kwenye waikiki Chubakka au bakka wanavituko. "Kazzaaa"Nikianza drama ni ngumu sana kuikatisha au kurukia nyingine. Nipo napambana na jumong mpaka iishe kisha nirukie waikiki 2.
Hahaha walewajinga, Kina Jung Ki kwenye waikiki Chubakka au bakka wanavituko. "Kazzaaa"
Kwenye ile nyumba ukienda na akili zako timumamu baada ya wiki nawewe unageuka wazimu.
Waikiki 2 ni nzuri ila bado haijafika kwa Waikiki 1.
Ukiimaliza waikiki 2 kaitafute Modern farmers ni nzuri pia.
Sio hio,Arrow in the bow string
Kama sikosei
Hiyo Ost ninayo mzee😃Selikavu una taka mpaka nikuchape,, ili uangalie hiki chuma 🙄😀.
👉 Nirvana in fire, Wana ost kali Ina itwa "when the wind blows"
View attachment 2917433
Hiyo si nili kushauri u download, season Ume angalia😀Hiyo Ost ninayo mzee😃
Kaka nangojea.. sijapata muda hata wa kudownload.. niiichek nitakusanua kakaHiyo si nili kushauri u download, season Ume angalia😀