Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimemaliza Slave hunters, nimepata series nyingine inaitwa "Shine or Go Crazy" kitonga nimekuta kuna mwamba anayo mwanzo mpaka final ila ya kutafsiriwa nimeiweka nilicheki.

Intelligent businessman ushacheki hilo kigongo ninachocheki now ?
Kaka mwamba Jang hyuk kaki washa mno humo.
Yaani uchizi wake ndo Ume onekana humo, ana piga Huku ana cheka😂.

Kifupi ni 🔥🔥🔥 adriz
 
Mimi mara ya kwanza Jang hyuk nimemuona kwenye hii niliyoimaliza slave hunters kama Deagilinga ,mule nilimkubali sana ukichaa wake na humu bado anapigo hizo hizo anaishi na mkewe kama anaishi na msela wake mpaka mtangazaji alipomuona tu akasema huyu mwamba tunae na huwa hana akili vizuri kama kapagawa..
 
Arrgh yaani adriz bado una kula chakula kwa kuhadithiwa😂🙄.
👉Kamtafuta kwenye my country, kaki chafua pia.
 
Nimemaliza Slave hunters, nimepata series nyingine inaitwa "Shine or Go Crazy" kitonga nimekuta kuna mwamba anayo mwanzo mpaka final ila ya kutafsiriwa nimeiweka nilicheki.

Intelligent businessman ushacheki hilo kigongo ninachocheki now ?
Hii drama niliangalia episode moja ikawa inaniboa nikaachana nayo... baadae nilivyomjua Jang hyuk nikaangalia drama zake nakuta ipo na hiyo aisee nilirudi kwa speed nahisi drama nzima niliimaliza kwa siku mbili[emoji1787][emoji1787]
 
Fated to love you, uliiona?
 
Mimi sipendi zile zao za mauchawi na marangirangi panga linavutwa na mkono nk

Kuna moja Wachina na Wajapan, wachina awanataka wakomboe nchi Yao kuna polisi mchina anafanya kazi katika Serikali ya Wajapan anaitwa Kung_Fei ndio star anafanya harakati kisirisiri kusaidia ukombozi hiyo Kali sana na naitafuta ila sijui jina lake coz nilicheki kwa mshikaji ikiwa imetafsiriwa.
Arrow in the bow string
Kama sikosei
 
Wakati nasubiria episodes zingine za drama yangu Koryeo Khitan war, basi nikasema wacha niijaribu drama ya My Country. Anyway si mbaya. Ndo kwanza nipo episode ya 2 wacha tuone.
 
Nikianza drama ni ngumu sana kuikatisha au kurukia nyingine. Nipo napambana na jumong mpaka iishe kisha nirukie waikiki 2.
 
Hahaha walewajinga, Kina Jung Ki kwenye waikiki Chubakka au bakka wanavituko. "Kazzaaa"
Kwenye ile nyumba ukienda na akili zako timumamu baada ya wiki nawewe unageuka wazimu.
Waikiki 2 ni nzuri ila bado haijafika kwa Waikiki 1.
Ukiimaliza waikiki 2 kaitafute Modern farmers ni nzuri pia.
 
Vituko sana,nilipenda sehemu kavumbua saini yake,mtu anasaini masaa telee. Tatizo la wakorea season 2 wanabadilisha characters wengi mpaka inaharibu ladha ya muendelezo.Sawa mkuu
Hahaha walewajinga, Kina Jung Ki kwenye waikiki Chubakka au bakka wanavituko. "Kazzaaa"
Kwenye ile nyumba ukienda na akili zako timumamu baada ya wiki nawewe unageuka wazimu.
Waikiki 2 ni nzuri ila bado haijafika kwa Waikiki 1.
Ukiimaliza waikiki 2 kaitafute Modern farmers ni nzuri pia.
 
Selikavu una taka mpaka nikuchape,, ili uangalie hiki chuma 🙄😀.
👉 Nirvana in fire, Wana ost kali Ina itwa "when the wind blows"
FB_IMG_17089622382727324.jpg
 
Back
Top Bottom