Ah huyu ile wiki ali spoil ving kidogo niache kutazama ila huwa ana mapenzi na watu wake kias haangalii kwa fairness. Nilvyotizama kidogo nimjie juu kwanin judgement zake ziko biasNilikua najiuliza umepotelea wapi mzee wa spoilers. Endelezeni stories maana mnanipa mzuka wa kuangalia realities
Kama ambavyo Dahye na Dong jin wameku dissapoint, nasubiri ujionee maajab hayo kwa yu jung maana she is obviously hamtak tena jamaa, text sio sababu pekee alomuacha sababu alimghost tangia nyuma.talnam i think nimekata tamaa kwa Dong Jin & Dahye ni muda wa bibie kumuacha jamaa aende kiroho safi,hatakuwa na majuto badala yake ataishi na historia ya loyal girlfriend miaka 13 kuspend na mwanaume mmoja ni nadra sana kutokea kwa hulka za wanawake wengi.
Nimehamia kwa Chang Jin na Yu Jung-hapa panaonekana pagumu ila soon tutakuwa tunashangilia huyo Bibie bado ana hisia na jamaa ila hasira na kinyongo cha jamaa kutomjibu meseji ya breakup akidhani atamstop ndio kinachomfanya awe cold mbele ya mshkaji na kuamua kujiweka kwa Juwon.
Anasema hataki kurudiana na jamaa halafu akimuona anacheka kwa furaha na wanawake wengine wivu na hasira vinamshika anasema eti Chang Jin is so rude to her(kwenye preview ya episode ijayo vicheko vya Changjin na Dahye vitamkosesha raha tena ataamua kukaa na jamaa waongee)
Changjin atalalamika kuhusu Yu Jung kuonesha sura tofauti kwake tangu anafika,mtoto wa kike atareact kwamba na yeye pia kaona sura za tofauti kwa jamaa kitu ambacho kimemtia wazimu,atatiririka hadi ishu ya kukosa usingizi ile siku ambayo asubuhi yake alilia sana kitendo cha kusikia jamaa anapiga story na kucheka sana na Dahye.
I think moments zao zitaanzia hapo
Kuhusu Jong Eun na Kwang Tae nitatoa views zaidi nimemuelewa sana huyu bibie wanaendana na kijana
ilinikuta hii nilitaman kupasuka yan huu uzi ulikua haufunguki, alaf ikaleta recom ya kudownload kwa browser aah inaniboa ni kama natizama kwenye pc wakat kwenye ka simu. Ila naish nayo nataman zile features za app zirudJukwaa huwa linajifunga nakosa access leo nimejaribu kufuta app na kupakua tena ndio imekubali
Hii season 3 couples almost zote zimeachana kwa sababu za kipuuzi zilikuwa ni avoidable breakups.Kama ambavyo Dahye na Dong jin wameku dissapoint, nasubiri ujionee maajab hayo kwa yu jung maana she is obviously hamtak tena jamaa, text sio sababu pekee alomuacha sababu alimghost tangia nyuma.
Hivi hamna anaesema cheating ndo sabab ya kuachana[emoji848]
Last week walionesha mtu kama sang jeong anataka kuachia kati, hizo editing zao wacha tuoneHii season 3 couples almost zote zimeachana kwa sababu za kipuuzi zilikuwa ni avoidable breakups.
Tukirudi kwa Yu Jung nimesema kwamba atampa jamaa chance kwa sababu kwenye trailer kuna sauti yake inalalamika kwamba "i avoided my feeling,they popped up from nowhere"
Ishu ni kwamba hasira zile zinamhold back,jamaa chanzo cha kumghost alikuwa kaweka muda mwingi katika career yake akiwa katika harakati za kubadili kazi
Ila wanawake matatizo sana unaweza kumuacha mtu kisa hana kazi pia unaweza kumuacha mtu kisa yupo bize na kazi[emoji23][emoji23]
Nimeweka na hii picha chini ya preview View attachment 2924961
Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
No zile sehemu bado hazijafika maana ndio wapo ndani ya usiku wa kwanza JejuLast week walionesha mtu kama sang jeong anataka kuachia kati, hizo editing zao wacha tuone
niwe nakesh naiona na siend prepo kabisa bonge moja la kigongo lilifanya nikafatilia fatilia series na moja iliitwa east of eden ..Niliipenda IRIS sijawahi kuona mfano wake
Nipo ndugu yangu ratiba ipo tight.ila mdogo mdogo nacheki kazi mpya.Ndugu yangu Obi Wan huonekani Kaka.
Nime tumia Akili kupata ulipoπ€, khitan war ni Kali sana.Nipo ndugu yangu ratiba ipo tight.ila mdogo mdogo nacheki kazi mpya.
Hapa natazama Korea Khitan war pamoja na Jamyung go.View attachment 2925611
Intelijensia imebidi itumike π za kichina wanazingua wanapaa sana kama ndege πNime tumia Akili kupata ulipoπ€, khitan war ni Kali sana.
Vipi za kichina si Zina panda??,
Kaka nili waza huyu jombi vipi tena?Intelijensia imebidi itumike π za kichina wanazingua wanapaa sana kama ndege π
Ushatizama ya leo??talnam wameongeza episodes hadi 20 so hapa tutaenda hadi April mwishoni
Kama unavyojua Jeju inavyobadilishaga sana feelings huwa sio sehemu salama tutakuwa surprised
Nikikwambia kwamba soon Yu Jung anamsamehe Chang Jin ujue research nzito imefanyika
Nimeamua kuwekeza stocks zote hapo,kwa yule jamaa Dong Jin alikuwa analizimisha breakup katika mezi yao ya mwisho ya relationship na kauli kama "Mbona huniheshimu,nifanye nini ili uniache niende?"
Kuship hapo ni kujitia stress naenda sehemu ambayo soon itanifanya niwe nakenua
Kuitupa miaka yao 13 ndio kunaumiza Dahye anatia huruma japo muda wote yupo bize kuwacare residents wengineUshatizama ya leo??
Niliona spoiler had ya final couple ila sizitilii maanan, maana yake kutakua na drama sio mchezo mojawapo hiyo uloacha ku i ship watachagua kuendelea eti
Numbisa muonee huyu Gen Z anaspoil yote na website nnayopakua wanaeka j.piliKuitupa miaka yao 13 ndio kunaumiza Dahye anatia huruma japo muda wote yupo bize kuwacare residents wengine
Hii ya sasa ni dramatic sana ex couple yoyote ikikaa chini na kuongea kwa kina naona kutakuwa na positive outcome kwa sababu za breakup zao ni za kizembe hasa Seokyung na Juwon.
Hata hao wakiyaongea kwa kina Dong Jin anaweza kuwa swayed
Pia ex couple ambayo wote wameingia ex room ina asilimia japo 50 za kurudiana
Kingine kijana wangu Hwihyun anaonekana hajui kuwasoma wanawake ndio maana hadi sasa hajui kuwa Sang Jeong anamuwinda,dogo ni ngumu kujua anawaza nini kichwani mwake hadi Sang Jeong kasema hana idea ya bwana mdogo anachowaza
Sang Jeong na Min Hyung wale walishaanza kufikiria ndoa kabisa ila Min Hyung japo alimuona Sang Jeong kama potential marriage partner ila alikuwa anamkaripia sana kwa sababu anaona bado ana utoto mwingi kitu kilichofanya self esteem yake kushuka,,hii inanirudisha kwa yule jamaa Hee Doo na Nayeon wake[emoji16]
Now nafikiria sana itakuwaje kuhusu Kwang Tae na ex wake breakup yao wangeiepuka but kitendo cha Jong Eun kushindwa kudhibiti hasira hadi kutamka asilodhamiria itahitaji muujiza sana,hapa wa kuamua hatma ya hii couple ni Kwang Tae maana amewaza kuwa it's over but vile anavyolia hovyo inanipa mashaka.
Aliweka nguvu katika kutafuta love interest mpya kabla ex wake hajafika ila hadi sasa hajapata,yupo na chemistry nzuri bado na ex wake nasubiri kwa hamu kuona namna watavyozungumza hasa neno "I love you" lilivyopelekea waachane
Jong Eun hapa kazi anayo kujieleza maana Kwang Tae alisema hatakuja kuelewa chochote in this lifetime kuhusu hiyo ishu [emoji23][emoji23]
Numbisa muonee huyu Gen Z anaspoil yote na website nnayopakua wanaeka j.pili
Jaman recom ya variety nyingine, uhakika si upo