ni sanaa ya muandishi alioitumia kwa lengo la kuweka utafauti wa species mbili hizo wanapowasiliana, kwa mfano kama ulikuwa unasikiliza kwa umakini utagundua kuna maneno ni ya lugha ya korea lakini muandishi aliyaweka kinyumenyume kimatamshi pindi yanapotamkwa na jamii ya neandthal.
mfano:
saram maana yake ni binadamu (person) kwa kikorea - neandthal walitamka maras kwa maana hiyo ya binadamu.
mian kwa maana ya samahani (sorry) - neandthal walitamka naim
hamkke - kwa maana ya pamoja (together) - neandthal walitamka ekkmah
kkum - maana yake ni ndoto (dream) - neandthal walitamka mukk