Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Napenda Korea za kijasusi si
 
Kwa wapenzi wa Rom- Com waweza angalia;
Dali and cocky prince
Queen of tears
A good day to be a dog
Doctor Slump
This is my first life
.
.
.
Ongezea na zako
 
Mwaka 2016 wakorea walitulia wakatoa kazi za maani, drama ni nzuri sana.
 
Ebhana huyu Grace Kang kwenye hii Artypcal family ana fanana sana na Sung Bora wa Reply 1988
 
wakorea na mzaha wa CCTV footage,
mara nyingi zinapohitajika kwa ajili ya uchunguzi/upelelezi/ushahidi fulani huwa hazikamiliki kitaarifa labda iwe episode ya mwishooo....
 
wakorea na hadithi za digestive problem, ni wepesi wa kusingizia tatizo la digestive wanapotaka kudanganya.

ongezea mzaha wako
 
  • Queen for seven day
  • Grand prince
  • 100 day my prince
drama fulani zenye stori nyepesi lakini hazichoshi kuziangalia, hata lile zee la test linaweza kujaribu ladha hizo.
Usisahau kuongezea MISSING CROWN PRINCE inayoendelea kila siku mbili za mwisho za wiki.

wapo wanaovutiwa na EXO Suho, mzanzibari navutiwa na binti Hong Ye Ji.
Uzuri wote hao ni mara yangu ya kwanza kuwaona kwenye tasnia ya sanaa
Nionyesheni muigizaji mzuri newcomer anayemzidi huyu binti, mimi nitawaonyesha mpemba anayefuga nguruwe.

Binti ana project mbili, zote historical, zote ni mwaka 2024, zote amekuwa muigizaji mkuu wa kike.
Unadhani ni bahati mbaya.
kama rahisi muulizeni dada mchungaji
 
Hii drama safi sana
 
Makasiriko:
Blood Free drama bado nina makasiriko nayo. sielewi hii drama imeishaje, siku hiyo nilikaa kwenye internet kwa dhumuni la kusubiria episode ya 11 na 12.
siku ikapita ngoma kimya na wakati huo huo kituo kile wakaanza project mpya ya UNCLE SAMSIK.

siku ya pili ikanilazimu nijiongeze kwa kutembelea tovuti mbalimbali,
ndugu mteja drama ya blood free imeishia episode ya 10.


Pole kwa kwenda mchomo,
mimi......mamamaeee muandishi!!!
maybe ipo season 2
sijui
 
Ji Sung na Lee Jeong Suk ni ndugu wawili wasiojuana, sijui ni bahati, au weledi au ni ubora wa management zao.
wanajua kuchagua project sahihi.
mwengine ni Lee Byung Hun hususani kwa upande wa movie.
Naangalia Connection drama, episode 2 za mwanzo si mbaya saaaaanaa!!!
 
ni web ip mzuri ku downloads hii
 
Wadau, mmemuona Mama Korea? Hatujatendewa haki, ilibidi sisi wadau tunaoijua Korea kindakindaki tuende tukajionee kwa macho Seoul, tukanywe soju tule kimbap na kimchi.
M Z A N Z I B A R I
Itafute drama inaitwa Monster ya 2016 uienjoy kisawasawa hiyo ina full package story kali, matukio mengi ina genre ya drama,kuna thriller na Romance vyote unapata kwenye drama hii.
Mzanzibari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…