Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Iljimae jinalake la kweli nani na k2 jina lake halisi man! wako vizuri kuigiza movie zao, hakuna jini anayevuka barabara akiangalia magari kulia na kushoto[emoji23]
iljimae main character alikuwa ni lee joon gi (king of historical drama kwa under 40 years old actors kwa mtazamo wangu), drama nyengine alizoigiza za historical ni
scholar who walk in the night
moon lover scarlet heart ryeo
joseon gun man
arang and the magistrate
 
Jaman naomba link ya kudownload hwarang cz kwenye dramafire haitak kudownload
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…