OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Military prosecutor DO BE MAN
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishawahi kukwambia kuwa sijawahi kuwa fan wa new love kwenye ile show,new love ni short time excitement.Nimeona
Na nasikia na mipango ya ndoa mwakani, ila dahye king’ang’a ku date na dong jin inataka moyo lazima alikua anasumbua tu.
Saiv natazama possesed love
Huu mwaka mimi nimeangalia dramas aisee hadi sasa sidhani kama kuna mwaka nimeangalia kama huu.Saiv kuna upepo mzito wa kutazama kdrama series.
Na download ila nguvu ya kutazama imepungua au nikianza simalizi, niko na variety shows zao na single movie tu
Kwangu Mimi 13 yrs sawa ila unaona walivyochoka ni kwamba tu for the sake of first loveNilishawahi kukwambia kuwa sijawahi kuwa fan wa new love kwenye ile show,new love ni short time excitement.
Ex wako ndio anakujua na kukuelewa kuliko mtu unayekaa nae wiki 2/3 hamuwezi ona rangi zenu zote.
That's why nilimpenda Yujung sana hakutaka hiyo short time excitement ichanganye moyo wake huku anajua kabisa anayempenda na hataki kumpoteza ni yupi
Dong Jin mwanzo alisema anamuona Hyewon kama young sister kwake,hiyo ndio ilikuwa sincere feeling ila kisa hataki kurudiana na Dahye wakati huo akaforce tu awe na mtu mpya ili kumkatisha tamaa Bidada[emoji23]
Na Hyewon sijui confidence alitoa wapi ya kuamini anaweza kumsahaulisha jamaa ex wake ambaye wamedate kwa miaka 13,it's not easy,naye short time excitement imefanya aachane na real feeling kwamba bado anampenda Hwihyun ila kisa immaturity yake akaona amfuate DJ.
Niliwahi kusema pia kwamba season 3 almost couple zote zilikuwa na possibility kubwa ya kurudiana kama sio zile confused hearts maana kila couple exes walikuwa bado hawajamove on.
Nina imani pia siku tutapata tu update kwamba Seokyung na Juwon wamerudiana
Hio ndo natazama yule saju aloshindwa kuvumilia kisa hajapata text siku moja kanichosha alaf mzuri kweliHuu mwaka mimi nimeangalia dramas aisee hadi sasa sidhani kama kuna mwaka nimeangalia kama huu.
Zile family za episodes hadi 120 nimepiga dramas kama 8 hivi.
Mini series ndio nimeangalia za kutosha hasa ongoing
Variety shows nazo sio kinyonge leo nimemalizia I-LAND 2 ya girl group survival show.
Kuna Possessed Love dating show ya Fortune Tellers na Shamans
Mpuuzi hiyo show zikianzaga hivi naanza kuchokaHio ndo natazama yule saju aloshindwa kuvumilia kisa hajapata text siku moja kanichosha alaf mzuri kweli
Ye kamkataa dada watu ye kukataliwa kashindwa, labda atarud maana sijui itakuaj
Si Hyewon alimtaka kisa ni good guy.Kwangu Mimi 13 yrs sawa ila unaona walivyochoka ni kwamba tu for the sake of first love
Hyewon atakua tu alichoka
Dahye haachiki kuna muda inabid uachie ngazi kiafya zaid, hata zile picha excitement iko dahye kama kawaida
Nan atatmtaka dongjin kwa ex alokua nae
YongWoo nae alkuuzi aah kajua kumlead ChoA, haeleweki alikua.Mpuuzi hiyo show zikianzaga hivi naanza kuchoka
Kama alivotuudhi Yongwoo mwishoni
😀😀😀 utakua king’ang’a na wewe acha uoga huko nje kuna mambo mazuri.Si Hyewon alimtaka kisa ni good guy.
Vile vilio kwenye ex room ni maana halisi kwamba jamaa alikuwa anashindwa kumsahau that's why akasema itachukua miaka mingine 13 kumsahau.
Na ile final day walivyopart ways jamaa alivyokuwa anamwaga michozi,shida alikuwa anazikataa hisia zake kumbuka kwenye ile part ya Truth Game jamaa ndio kama ilimfanya akili zije kiasi akawa njiapanda.
Ndoa ndoa ndoa,hio kitu hawakuwahi kuijadili pamoja ndio ilifanya jamaa afikirie future ya relationship yao maana alikuwa hajajua kama Dahye na yeye alikuwa ana mawazo kama yake.
Ndio maana communication ni muhimu sana katika mahusiano kuna tangazo moja la zamani linasema vunja ukimya zungumza na mwenzio,couples almost zote breakup zao zilitokana na hii kitu lack of communication.
Umesema kwamba hakuna atayemtaka,yah maybe na hiyo ndio sababu ambayo itafanya aone Dahye ndio destined kwake na sio kwamba bibie king'ang'anizi Kumbuka aliamua kunyoosha mikono na kumtakia kila la heri jamaa.
Ila kwa sasa wanajua kila mtu anawaza nini wanaweza kuwa strong zaidi sio mara yao ya kwanza kuachana 2013,2018 na 2020 waliachana kwa muda mfupi hii ni kawaida kwa wapendanao[emoji23]
Divorced Singles hiyo show siipendi aisee sijui kwa nini.[emoji3][emoji3][emoji3] utakua king’ang’a na wewe acha uoga huko nje kuna mambo mazuri.
Btw nlitazama ile dirvoced single, yoh kuna couple had wameoana alaf kama utan yan
Ukitazama show zikaleta matokeo hivi had raha
Ile ndo nilianza kuitazamaDivorced Singles hiyo show siipendi aisee sijui kwa nini.
Tena nilivyokutanaga nayo ile iliyokuwa set USA ndio nikapoteza mood nayo kabisa
Hizo ni sanamu.
sikutambua kabisaHizo ni sanamu.