Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Vp hawa wawili unawafaham aisee huyu mzee anakipaji ni balaa
 
Yupo pia kwenye Kingdom of the wind ni balaa tupu humu utacheka mpaka mbavu zikuume akiwa na huyo bwana mdogo.
Ndo nnapowapenda wakorea yaani wanakupa full package kila kitu unapata humo. Kama ni mbavu utavunjika sana, kama mchozi utamwaga yaani kila kitu unapata humo
 
Hahaha tamu kweli,hutajuta. Malizia tu hio kisha rukia inayosifiwa ukiwa sehemu tulivu kabisa
uuwiiiiii...!!niache kwanza nimalizie hotel king ndo nianzie hii descendants of the sun maana mnavyoicfia natamani niue ndege wawili kwa jiwe moja....hahahaha
 
Hahaha tamu kweli,hutajuta. Malizia tu hio kisha rukia inayosifiwa ukiwa sehemu tulivu kabisa
Nilikuwa naomba unifahamishe ni webste ipi ni rahis sana kudownload series za korea Drama. Nilikuwa natumia Dramanice aisee hii ndio ilikuwa nzur kwangu maana ilikuwa haina usumbufu kabisa lakn nashangaa siku mbili tatu hiz imeanza kusumbua tena sana tu.
 
Mie huwa natumia dramania ni nzuri sana ina vikorea vingi na episode zake zote
 
Jumong, Bridal Mask,seven flying dragons, iljimae na Kim soro
 
Nimezoea hivyo. Nadownload hivyo hivyo ila kila part inayojirudia huwa nadownload moja tu mfano part 1,moja part 2 moja bila kurudia namba
namanisha hiyo kitu kwann isiwepo ya kupakua moja kwa moja Epsd 1 kuliko kuleta Part zake ama ww huwa unatumia vp
Yah ndio hiyo ila katka kila Epsd inakuwa na Part nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…