Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Hhaahaha si mbaya inasaidia kujaza mood ya kuielewa na kuiangalia movie vizuri
Asante ngoja niipakue. Episode 16 tu af cast nimeipenda [emoji23] [emoji23] mwenzenu sijui nna ugonjwa gani nikipewa movie nachungulia cast kwanza[emoji85] [emoji85]