Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nime download ep 2 tu bado sijaanza kuitizama naimalizia man to man kwanza,ila lazima niitizame namkubali sana yule dem mule mi namwita Kim nana..jina lake la kwenye city hunter.

Nyimbo zao ninazo mie tena.
Mi man to man bdo cjaitazama,Ila nayo ntaanza kuiangalia,Ila kuna nyengine imeanza Juzi ya Boy wake Kim bok joo,inaitwa bride of the water god,Nayo yaonekana Nzuri
 
Nawakubal sana watu humu ndan utasema n wazaliwa wa korea binafsi huwa napenda sana korean drama zle za kijijin/kifalme
Huwa nikiishiwa hzo ndo narud mujin
Hv vita ya korean drama haijwah kuwaacha bongo movie salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi man to man bdo cjaitazama,Ila nayo ntaanza kuiangalia,Ila kuna nyengine imeanza Juzi ya Boy wake Kim bok joo,inaitwa bride of the water god,Nayo yaonekana Nzuri
Ngoja nitaichek.
 
Hahaa jamani kama Damushin huyu anakaa Korea kusini kabisa huyu
 
Hahahahahahha!, K-DRAMA FOREVER
 
EMPRESS KI Ushaionaga????
 
Na sura zao za kufanana,zaman nilikuwa nashindwa kuwatofautisha kabisaa. Siku hizi naweza kwa wakaka tu wadada bado naona ni mapachaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, Wanafanana Sana,Na Wanamvuto Wa sura Pia...
 
Una ndoto kama yangu ila mimi sijui kama itatimia. Yaani wakorea wameniroga I love everything about korea yan[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Sikuwahi kuwaza kuwa Kuna Watu wanaweza fikiria sawa na Mawazo yangu, Ichi ulichoandika apa Nimekuwa Nakiweka Akilin Mwangu na kukiwaza kila Navyoangalia Izi Drama.... Yaaani Nawish Sana ichi kitu
 
Daaahh wewe umenishinda aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…