kwa mara ya kwanza leo baba wa muigizaji song joong ki amefanya mahojiano kuhusiana na taarifa za mtoto wake kufunga ndoa na mwanadada aliyemzidi kiumri kwa miaka 2 song hye kyo na alisema maneno yafuatayo
"song yupo kwenye umri mzuri sana kwa ajili ya kufunga ndoa na kama wazazi ni jukumu letu kuheshimu maamuzi ya mtoto wetu na zipo taarifa za uvumi zinazodai kama sisi tunapingana na ndoa hii iliyotangazwa kufanyika october 31 jambo ambalo ni la uongo. ninapenda kuona nikiitwa babu na mtoto atakayezaliwa na mwanangu na pia kumuona mtoto wangu akitekeleza majukumu yake ya kifamilia na pia kuzidi kufanikiwa kwenye kazi yake ya uigizaji.
pia ameendelea kusema ya kwamba bado mtoto wake anamtembelea mara kwa mara pamoja na marafiki zake hususan
lee kwang soo ambaye ndiye rafiki yake mkubwa sana.
pia wakatii wakifanya kazi kwenye drama ya descendent of the sun song couple,
jin goo,
kim jin woo walikua wanalala hapa baadhi ya siku kwa sababu film location ilikuwa ni karibu