Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Another Korean handsome face
 
Duuh aisee huyu kaka ana roho ngumujee.. ila nisiseme maana co-actress yuko bize anacheza movie zingine kama sio yeye wa kwenye frozen flower hahaa
 
hahahahaaaaa ameshasahau.halafu noona bila ya kuwa na juhudi huwezi kufanikiwa kumbe song joong ki kwenye frozen flower alikuwemo na alicheza uhusika wa body guard wa mfalme.jaribu kuangalia picha na leo amekuwa muigizaji maarufu sana
 
Hamna series ya kikorea nliyotokea kuichukua kama hii ptyuuuuuu...!!(frozen flower)
 
hahahahaaaaa ameshasahau.halafu noona bila ya kuwa na juhudi huwezi kufanikiwa kumbe song joong ki kwenye frozen flower alikuwemo na alicheza uhusika wa body guard wa mfalme.jaribu kuangalia picha na leo amekuwa muigizaji maarufu sana
Hahaa mi nilikaona...kalikuwa kanatokea mara chache sana. Wakorea hapo ndo nawapendaga mimi ukionyesha uaminifu katika dogo hawasiti kukupa kubwa. Wanakupa nafasi uonyeshe uwezo kwanza
 
Mi Nilimkubari Kwenye It's OK, This is love, Moja ya Drama ilonitoa Machozi Bila ya kuyazuia, Amecheza vizuri sana Mule Ndani Na ile Chemistry na Kong Hyo-jin ilikuwa balaa,Yupo Vizurii...
 
hahahahaaaaa ameshasahau.halafu noona bila ya kuwa na juhudi huwezi kufanikiwa kumbe song joong ki kwenye frozen flower alikuwemo na alicheza uhusika wa body guard wa mfalme.jaribu kuangalia picha na leo amekuwa muigizaji maarufu sana
Kwani Hii drama Naona Mnaisema Sana Ipoje?? Manaa Bado Sijaiangalia
 
hahahahaaaaa ameshasahau.halafu noona bila ya kuwa na juhudi huwezi kufanikiwa kumbe song joong ki kwenye frozen flower alikuwemo na alicheza uhusika wa body guard wa mfalme.jaribu kuangalia picha na leo amekuwa muigizaji maarufu sana
Mbona sioni habari za Song il Gook ama kaisha potea

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Kipindi wanatoa ile series ya D of the Sun walikuwa tayali ni wapenz????
 
Wengine tunapenda kuangalia hz series coz hata ukikaa na mzee au watoto sebulen unachek bila chenga lakin kwenye FROZEN FLOWER mmh...walizingua kidogo sio kwa figisu figisu zle[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huyu jamaa namkubal sana
kwa wadau wanaomkubal wajarib kuchek series moja hv inaitwa MY LOVE FROM ANOTHER STAR iko vizur sana jamaa yupo ndan hutojutia[emoji5] [emoji12]
 
Hii Queen of seven days ni nzuri? ina mahaba tuu ama na mapigano yapo?
Bado aijaisha Ila Mpka Apo ilipofikia, Naweza kusema aina Mapigano Sana ila Ina Mtiririko Mzuri wa Stori na Ina Mahaba Yasiyo ya juu sana,Mahaba yale yanayokufanya Uguswe Moyoni,
Ila ni Story inayowakutanisha ndugu wawili waliochangia Baba, Baba yao ni Mkuu wa nchi ila baada ya kifo chake aliacha wosia Kwenye Mwili wa Mwanamke ambaye bado ajafaamika ni Yupi,Na uo wosia ulikuwa unaelezea kuwa yule Mtoto Mdogo kati ya wale wawili ndo aje arithi kiti chake,Ila Mambo yalienda tofauti Na Visasi Vinaanza kwa yule Mkubwa Pamoja na wapambe wake Kumuwinda yule Mdogo kwa Nia ya Kumuua, Iyo ni kwa kifupi kwa Mengi Yaliyomo Umo, Nachokuahidi autajutia Bando Lako na Utapata full Package...Lakin kama Ni Mpenzi wa DRAMA Izo...
 
Wengine tunapenda kuangalia hz series coz hata ukikaa na mzee au watoto sebulen unachek bila chenga lakin kwenye FROZEN FLOWER mmh...walizingua kidogo sio kwa figisu figisu zle[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan mi hiyo siku naiangalia nlikuwa na mwanangu na hubby bahati nzur mtoto akasinzia hapo hapo ile naenda kumlaza narudi ndo nakuta wanafanya upuuzi wao aiseee nilikereka ile mbaya nikaifutilia mbali,hata sikutaka kujua kilichoendelea..!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] .....Aigoooo
Yan me bahat nzur siku hyo nlkuwa room mwnyw nikasema ikitokea watu wakaingia room watadhan nilikuwa napornoka maana nililiamsha dude[emoji12]
 
Hahahahaha pole
 
Wengine tunapenda kuangalia hz series coz hata ukikaa na mzee au watoto sebulen unachek bila chenga lakin kwenye FROZEN FLOWER mmh...walizingua kidogo sio kwa figisu figisu zle[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila ni nzur ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…