Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nzuri ukiwa unaangalia mwnyw au na wadau wa rika moja sio uchek na family sebulen

Ila naamin uzur au ubaya wa kitu n mtu unavyochukulia hcho ktu.
Ni series ipi ni Kali yakifalme iliyochezwa kijijini tofauti na Jumong
 
Inahusu empire ya Goguryeo ambayo ilikuwa imelack power dhid ya tawala nyngn kama Baekje
Huyo king ndo alkuja kurestore power upya ya goguryeo
 
Huyu jamaa namkubal sana
kwa wadau wanaomkubal wajarib kuchek series moja hv inaitwa MY LOVE FROM ANOTHER STAR iko vizur sana jamaa yupo ndan hutojutia[emoji5] [emoji12]
Kama hujaiangalia The moon that embraces the sun itafute. Huyu kijana ni nyoko sana teh hivi nimetukana eeh?
'
 
Wakorea hawajakukosea aisee kuna series moja hv inaitwa
KING GWANGGAETO n hataree inafanana na Jumong
Mkuu nimedownload Episode moja tu aisee ninzur. Mwanzo tu unakutana na vita ya kufa mtu. Sio mwendelezo wa Jumong kwel, maana naona baadhi ya washiriki walikuwepo pia kwenye Jumong.
 
Khaa mwanzoni umeuliza inahusu nini kwa maana kwamba huijui kabisa...huko kufanyana vepee...
Kama walifanya kwel basi watu wanafaidi ni noma, nakumbuka huyo dem nilimuona kwenye Jumong kumbe ni mtamu hivyo na Nyonyo zake zile. Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…