Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahahahahah, Bado sijaimaliza Nipo Episode ya 23, Ila Nahisi Icho Kipande cha kushindwa bado sijakifikia ila kiukweli Hii Drama Ni Inanisafisha Macho kwa Machozi lol! Tena Kuanzia Episode ya 20 Yaani,

Nahisi Umeimaliza Yote Unaweza Nielezea Kati ya wale mabinti wawili Ni Yupi Mdogo wa Gil Dong?
 
Nzur kiac chake hasa story na mpangilio wa ma2kiao
Lakn action wamezngua

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Nzuri Banah Tena Ni Nzuri Sana...Ni kati ya drama Ambazo Inakuchukua na Unaenda Nayo ( Apa sasa Sijuhi Inaweza kukufikisha wapi hii Inategemea na Mtazamaji) ila kwa Mimi imenifanya nisahau kidogo Vinavyonisumbua kwa wakati huu ila Nafikiria Nikishaimaliza Nitakuwa kwenye Kona Ipi..,
Ila Ina Ubora, Chemistry Ya Gil dong, Gil Hyeon na Ah Mo gae Ambaye ni Abeoji Wao Ni Cheche sana, Ukija na Ya Wale Brothers Zake Ni Wameua, Mi Yule Monk tuuh ambaye Mara Nyingi ye huwa anatoa Hewa chafu kuwatibua Wezake ni Vitu Ambavyo Kidogo Vinanifanya Nienjoy Hii Drama Lol!I
mjr95 Itafute
 
Yule jamaa
Moo Hyul
Ila huku kawa mzembe mzembe hv
Aigooooo! Gil Dong, Amenivuta sana Nahisi Anaingia Kwenye Diary Sasa Kuungana Na Kina Chang Wook

Kwenye Fly Dragon Nilimkubari,Kwenye Doctor Nikamkubari Zaidi Ila Humu kwenye Rebel Kanichukua Mazima...
 
Huyu mchizi si amechezq kama muhyool kwenye six flying dragon

Sent From Heaven
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…