Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakuu kuna series moja inaitwa Deija young kikorea bado ipo sokoni nimeitafuta niliona kipande tu mwaka 2015 kutoka na ubize sijaiona tena.

Sent using Iphone 7+
 
Wakuu kuna series moja inaitwa Deija young kikorea bado ipo sokoni nimeitafuta niliona kipande tu mwaka 2015 kutoka na ubize sijaiona tena.

Sent using Iphone 7+
Ngoja nitakupa mrejesho mkuu
 
Aigooooo! Gil Dong, Amenivuta sana Nahisi Anaingia Kwenye Diary Sasa Kuungana Na Kina Chang Wook

Kwenye Fly Dragon Nilimkubari,Kwenye Doctor Nikamkubari Zaidi Ila Humu kwenye Rebel Kanichukua Mazima...
Huyu si ndio yupo kwenye JACPORT? hatari sana huyu dogo.Kanitoa machozi kwenye Jackport kanifundisha pia kuacha kamali.Pia kama kuna anayejua mwendelezo wa Jackport anitajie jina maana wanadai mwendelezo unabadilika jina.

Hongera Kwanza Kwa Kuacha Icho Kitu ni atua Kubwa Sana......Hahahahahaha Dah!!
 
Kuna hii series ya kichina ina itwa princess agent nzuri saana!!,
Sijawahai kupenda series ya kichina ila hii the best!,
Story line, action na vitu Vingine nzuri saana!.
Bado inaendelea.

Kama kuna MTU anafaham muendelezo wake naomba muongozo!.

Princess Agents (2017) - Drama Cool
 
Huyu si ndio yupo kwenye JACPORT? hatari sana huyu dogo.Kanitoa machozi kwenye Jackport kanifundisha pia kuacha kamali.Pia kama kuna anayejua mwendelezo wa Jackport anitajie jina maana wanadai mwendelezo unabadilika jina.

Sent using Iphone 7+
Hapa huyu si yule kwenye JACKPOT;the Royal Gambler
Huyu anaitwa

YOON GYUN-SANG

Na yule kwenye JACKPOT anaitwa

JANG KEUN-SUK

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo hiyo mkuu sema ndefu niliishia epd ya 30 naitafuta kwa sasa siipati sokoni niliipenda sana.

Sent using Iphone 7+
 
Ndiyo hiyo mkuu sema ndefu niliishia epd ya 30 naitafuta kwa sasa siipati sokoni niliipenda sana.

Sent using Iphone 7+
sasa hapo bado episode 104, mimi nilinunua cd kwa sababu sijawahi kuiona kwenye tovuti yoyote ile, pia nimengalia kwenye youtube kuna watu wameiweka lakini wameunganisha episode
 
Mkuu taifa la jumong liliangushwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…