Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

my love from another star
my girlfriend is gumiho
painter of the wind
jumong
winter sonata
ijmae
iris😊😊😊😊
 

lee min ho n bongee la actor n bibiee park shin shye!!!
kwa ilee city huntr n the heirs wametshaa mbayaaaa
 
Am a new member ni die hard fan wa Korean drama japo c wa muda mrefu kuna member nimeona anaulizia anawezaje pata hizi Korean movie Kama unatumia simu ya Android just download FASTEST VIDEO DOWNLOADER utaipata kwenye playstore zen unaingiza any website ikikubali streaming task is over.....Kama elimu ishawai tolea c mbaya
 
Eeeebana gu family book na bridal mask izo action na love stories love rain...boys over flowers...he's beautiful...healers
 
Arrows on the bowstring
City hunter
Scandal
Bridal Mask
Iris
HIZI ZIMETOKEA KUNIVUTIAA ILA NAWAKUBALI WAKOREA SANA...WANAJUA!😛oa
 
Jumong na King gwagetto hizo nazikubali sana hasa Jumong na Damdeok the greater hapo wazangu siwaoni maana hizo technique za vita .wakorea ni wakali
 
Kuna kitu Empress KI ni kati ya series mpya
 
ni saidieni link ya ku-download movies za ki korea kwenye simu.
 
Nina series za Korea zaidi ya 30 complete kama Kuna mtu akitaka tuexchange aniambie...pia ninazo za US and others nipo kariakoo 0762778385


Hata mimi ninazo nyingi,kama vile Healer,Arang,horse doctor n.k npo Tabata bima,nahitaj tu exchange 0782112901
 
Mkuu muanzisha mada, tafadhali rekebisha kichwa cha bandiko lako kwa sababu umechanganya wingi na umoja. Usiwe kama mchina wa kariakoo, ahsante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…