Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Yaani, lol!Naijua akili yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani, lol!Naijua akili yako
Poa nitakufundishaHahahahahahaha,Duuuhh! Umeijuaje
NifundishePoa nitakufundisha
HayaNifundishe
Tunaanza liniHaya
hii habari nilipoiona wiki iliyopita haikunifurahisha kwa sababu nilitegemea song il kook kabla mwaka haujaisha atapata offer ya kuigiza japo short drama ila haitowezekana tena kwa mtazamo wangu, kwa sababu ni lazima akae ufaransa ili kumpa support mke wake na watoto hadi watakapoyazoea mazingira ya nchi mpya, labda tutegemee kati kati ya mwaka 2018 anaweza kupata ofa ya kuigiza hususan ukiangalia management yake mpya anayofanyia kazi ya CJ es ina nguvu sana kwenye korean industry.Huyu jamaa namkubali kinoma yaani
siku moja nilikuwa naangalia return of superman ila episode nimeisahau song il kook alisema ya kwamba daktari aliwashauri mtoto mmoja wamtoe kutokana na jinsi watoto walivyokaa kwenye tumbo lakini mkewe alikataa.Song Il-gook
Hatar sana huyu jamaa cjui ilikuaje hiyo siku lady
Jung Seung-yeon alipojifungua hv vipacha3
Hawa wakorea wanatuibia. Kila break up busy schedules busy schedules ina maana akinda Joong Ki, Min Ho, Kim Woo Bin na wengineo wenye wapenzi mastaa wenzao hawako busy? They are working so hard kutuaminisha kuwa wanachocheza kwenye drama zao ndo maisha yao halisi. Come on Koreans tunajua hata ninyi ni binadamu bwana though I must admit kuwa mastaa wenu huwezi kuwalinganisha na hawa wa kwetu,tunajua hata ninyi mnachokana, mnasalitiana kama sisi tu..![]()
Breaking: Lee Sung Kyung And Nam Joo Hyuk Confirmed To Have Broken Up
YG Entertainment released a statement sharing, “We checked with Nam Joo Hyuk and Lee Sung Kyung, and it is true that the two recently broke up,” and added that the exact reason cannot be revealed as it is their personal matter.
On August 18, it was revealed that Lee Sung Kyung and Nam Joo Hyuk have reportedly broken up.
According to industry representatives, they naturally grew apart due to busy schedules and have decided to maintain a supportive senior-junior relationship.
In response, a source from their agency YG Entertainment commented, “We will release a statement after checking.”
The model-turned-actors had confirmed their relationship on April 24. The two had been friends for awhile and starred in tvN’s “Cheese in the Trap” and MBC’s “Weightlifting Fairy Kim Bok Joo” together.
Nam Joo Hyuk is currently appearing in drama “Bride of the Water God,” while Lee Sung Kyung is shooting for upcoming film “Love Sling.”
Mtoto mkali kama huyo unamuachiaje kwa mfano. Dogo kazingua sana![]()

Nitaenda mkuu
Nikatie na mimi ticket. Hivi kufika Seoul unapanda New force au Kilimanjaro express?Nitaenda mkuu
Ngoja nitakwambiaNikatie na mimi ticket. Hivi kufika Seoul unapanda New force au Kilimanjaro express?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nami Pia Nitakusindikiza...Nitaenda mkuu
Tumwombe Damushin nasi atukatie tiketNikatie na mimi ticket. Hivi kufika Seoul unapanda New force au Kilimanjaro express?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa anahama mapema kabla vita ya nyuklia kuanza kati ya dprk na usahii habari nilipoiona wiki iliyopita haikunifurahisha kwa sababu nilitegemea song il kook kabla mwaka haujaisha atapata offer ya kuigiza japo short drama ila haitowezekana tena kwa mtazamo wangu, kwa sababu ni lazima akae ufaransa ili kumpa support mke wake na watoto hadi watakapoyazoea mazingira ya nchi mpya, labda tutegemee kati kati ya mwaka 2018 anaweza kupata ofa ya kuigiza hususan ukiangalia management yake mpya anayofanyia kazi ya CJ es ina nguvu sana kwenye korean industry.