Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakubwa hapa kuna group la telegram kuhusiana na Korean drama na movie lengo niku2miana updates za SERIES na movies maEPISODES na CLIPS
Kam utaipenda na hutojari utaJOIN
Tunge CREATE la WhatsApp Lakini
Members watakua wachache na video size zitakuwa ndo telegram video limit no 1.5gb

K-DRAMA &MOVIES

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa namkubali kinoma yaani
hii habari nilipoiona wiki iliyopita haikunifurahisha kwa sababu nilitegemea song il kook kabla mwaka haujaisha atapata offer ya kuigiza japo short drama ila haitowezekana tena kwa mtazamo wangu, kwa sababu ni lazima akae ufaransa ili kumpa support mke wake na watoto hadi watakapoyazoea mazingira ya nchi mpya, labda tutegemee kati kati ya mwaka 2018 anaweza kupata ofa ya kuigiza hususan ukiangalia management yake mpya anayofanyia kazi ya CJ es ina nguvu sana kwenye korean industry.
 

Breaking: Lee Sung Kyung And Nam Joo Hyuk Confirmed To Have Broken Up

YG Entertainment released a statement sharing, “We checked with Nam Joo Hyuk and Lee Sung Kyung, and it is true that the two recently broke up,” and added that the exact reason cannot be revealed as it is their personal matter.

On August 18, it was revealed that Lee Sung Kyung and Nam Joo Hyuk have reportedly broken up.

According to industry representatives, they naturally grew apart due to busy schedules and have decided to maintain a supportive senior-junior relationship.

In response, a source from their agency YG Entertainment commented, “We will release a statement after checking.”

The model-turned-actors had confirmed their relationship on April 24. The two had been friends for awhile and starred in tvN’s “Cheese in the Trap” and MBC’s “Weightlifting Fairy Kim Bok Joo” together.

Nam Joo Hyuk is currently appearing in drama “Bride of the Water God,” while Lee Sung Kyung is shooting for upcoming film “Love Sling.”
 
Song Il-gook
Hatar sana huyu jamaa cjui ilikuaje hiyo siku lady
Jung Seung-yeon alipojifungua hv vipacha3
siku moja nilikuwa naangalia return of superman ila episode nimeisahau song il kook alisema ya kwamba daktari aliwashauri mtoto mmoja wamtoe kutokana na jinsi watoto walivyokaa kwenye tumbo lakini mkewe alikataa.
 
Hawa wakorea wanatuibia. Kila break up busy schedules busy schedules ina maana akinda Joong Ki, Min Ho, Kim Woo Bin na wengineo wenye wapenzi mastaa wenzao hawako busy? They are working so hard kutuaminisha kuwa wanachocheza kwenye drama zao ndo maisha yao halisi. Come on Koreans tunajua hata ninyi ni binadamu bwana though I must admit kuwa mastaa wenu huwezi kuwalinganisha na hawa wa kwetu,tunajua hata ninyi mnachokana, mnasalitiana kama sisi tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoto mkali kama huyo unamuachiaje kwa mfano. Dogo kazingua sana
 
Jamaa anahama mapema kabla vita ya nyuklia kuanza kati ya dprk na usa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…