Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nimeachwa kweli wiki ilopita nilikuwa na mchaka mchaka sana ila ss hz nimeshamaliza school2017,bride of water god na nnaendelea na criminal minds ni wakati mzur wa kujisogeza kwa king loves

sent using TV ya chogo
 
Hapana umeandika au ulikuwa unaongea alafu yanajiandika???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…