Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Naachaje kuchepuka kwa mfano nimezungukwa na vijana wahendsam kama hivi. Ila haka kaserengeti boy kampango ka kando my Kim Tae Ho ndo dereva[emoji108] [emoji108]umeamua kuchepuka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naachaje kuchepuka kwa mfano nimezungukwa na vijana wahendsam kama hivi. Ila haka kaserengeti boy kampango ka kando my Kim Tae Ho ndo dereva[emoji108] [emoji108]umeamua kuchepuka?
kwa jinsi inavyoonekana SBS tv wanaionesha episode 4 kwa wiki au dramabeans wamenidanganya?Wanakorea Wezangu Wa Tanzania...Nawaleteeni Mjumlisho Wa Drama Ya While You Were Sleeping,Hii Drama Kiukweli Nilitaka Nieeke Kando Kwa Kuwa Nipo Kwenye Kipindi Cha Mapumziko,Lakini Jana Ilinifanya Kunivuta Kidogo Kwa Kutaka Kujua Yaliyomo Yamo!?
Ni Drama Nzuri Kiukweli japo Inamambo Kama Ya W Aloiyona Hii Drama Atakuwa Amenielewa..Nayo Amecheza Jong Suk Nikajiuliza Uyu Mtu Ndo Mtindo Wake Wakucheza Aina Hii Ya Drama Ama!???
Ina Ubora,Stori Yake So far Inavutia Japo Nimeangalia Episode Moja Tuuh Ya Pili Ndo Nataka Kuiona Tena Ila Kwa Wanasema Nyota Njema Uonekana Asubuhi..
Suzy Wifi Wa Kimataifa Umu Ndani Ni Yupo Tofauti Ukilinganisha Na Drama Yake Ya Mwisho Alocheza Na Woo Bin (Uncontrollably Fond) Kanitoa Chozi Jana Lol!! Nimelia kidogo Jamani Hmmm!!!!!!
Alokuwa Ana Cha Kuangalia Naomba Aitafute Hii Kitu Ndo Kwanza Ina Episode Mbili Tuuh Autajutia Kuwa MkoreaTanzania...
Subuhi Yenye Baraka Na Kwa Wale Wa Ibada Tukutane Masjid...
hahahahaaaa umenikumbusha drama ya innocent man uyo kim tae hoon alikuwa anampenda yule mke wa bosi ambaye pia alikuwa ni mchumba wa zamani wa kang maru.ila nimeangalia profile yake ana miaka 42 lakini humu kwenye drama ya Look Out anaonekana ni bado handsome wa nguvu, hongera kwa kuajiri dereva ila taarifa nitazifikisha kwa madame bae suzy kwa kitendo chako cha kushindwa kuvumilia miaka 2 tu.Naachaje kuchepuka kwa mfano nimezungukwa na vijana wahendsam kama hivi. Ila haka kaserengeti boy kampango ka kando my Kim Tae Ho ndo dereva[emoji108] [emoji108]
Aah sio huyo bhana ni yuleyule bebi wangu sema mimi huwa napenda kutumia jina lake la zamani ndo nalipenda. Ukinisemea utakuwa huna huruma hivi nivumilie miaka miwili kweli??? Wewe unaweza?hahahahaaaa umenikumbusha drama ya innocent man uyo kim tae hoon alikuwa anampenda yule mke wa bosi ambaye pia alikuwa ni mchumba wa zamani wa kang maru.ila nimeangalia profile yake ana miaka 42 lakini humu kwenye drama ya Look Out anaonekana ni bado handsome wa nguvu, hongera kwa kuajiri dereva ila taarifa nitazifikisha kwa madame bae suzy kwa kitendo chako cha kushindwa kuvumilia miaka 2 tu.
![]()
Woow...our Damushin is the best mi naipenda sana hiyo style ya maids wadogo. Park Shin Hye amecheza historical drama gani?muongozo kuhusiana na joseon hair style
- Eoyeo meori : ni hair style maalum kwa ajili ya wanawake ambao wana mahusiano na royal family inawezekana kwa kuolewa, queen dowager. mwanamke anakuwa na wig sehemu yote ya kichwa.
![]()
- Cheopji meori :style hii ya nywele ni maalum pia kwa wanawake ambao wana ukaribu mkubwa na royal family hususan wake wa mawaziri pamoja na watumishi wa kike wenye vyeo vya juu.(high ranking court lady)
![]()
- Tteoguji meori: style hii ya nywele hutumika kwenye sherehe maalum za kifalme na huvaliwa na queens, royal concubines, royal consorts na watumishi wakubwa.
![]()
- Daesu meori: mara nyingi style hii ya nywele huvaliwa kwenye sherehe za ndoa au sherehe za kupewa cheo cha crown princess au kuapishwa kuwa malkia
![]()
- Saeng meori: wasichana wadogo kuanzia miaka 9 hadi 14 wanaofanya kazi kwenye royal family huwa na style hii ya nywele
![]()
- Badukpan meori: ni hair style kwa ajili ya watoto wadogo wenye umri wa miaka 3
![]()
- Sangtu: ni style maarufu ya nywele kwa ajili ya wanaume hususan wale ambao wanatokea kwenye familia zenye heshima kubwa(noble family) pamoja na wasomi (sscholar) na kikawaida nywele huwa na mfungo maalum na pia huvaliwa manggeon na hutumia pin kwa ajili ya kuzifanya nywele zikae mahala sahihi.
![]()
- Minsangtu: ni style ya nywele maalum kwa ajili ya masikini kama damushin na wenzake na tofauti kubwa ya minsangtu na sangtu ni kwamba sangtu huvaa manggeon ila minsangtu huwa hawana manggeon.
![]()
![]()
- Ko meori: wanawake ambao ni masikini waliofunga ndoa ndio wanakuwa na style hii maalum ya nywele na hutumia nywele zao za asili na mara nyingi hujifunga kitambaa cheundu.
![]()
- Ap daenggi: mara nyingi style hii ya nywele huvaliwa wakati wa sherehe za harusi
[HASHTAG]#bye[/HASHTAG]![]()
Kuna mahali nimepita nimeiona ngoja nifuatilie nimuone maza hausiWanakorea Wezangu Wa Tanzania...Nawaleteeni Mjumlisho Wa Drama Ya While You Were Sleeping,Hii Drama Kiukweli Nilitaka Nieeke Kando Kwa Kuwa Nipo Kwenye Kipindi Cha Mapumziko,Lakini Jana Ilinifanya Kunivuta Kidogo Kwa Kutaka Kujua Yaliyomo Yamo!?
Ni Drama Nzuri Kiukweli japo Inamambo Kama Ya W Aloiyona Hii Drama Atakuwa Amenielewa..Nayo Amecheza Jong Suk Nikajiuliza Uyu Mtu Ndo Mtindo Wake Wakucheza Aina Hii Ya Drama Ama!???
Ina Ubora,Stori Yake So far Inavutia Japo Nimeangalia Episode Moja Tuuh Ya Pili Ndo Nataka Kuiona Tena Ila Kwa Wanasema Nyota Njema Uonekana Asubuhi..
Suzy Wifi Wa Kimataifa Umu Ndani Ni Yupo Tofauti Ukilinganisha Na Drama Yake Ya Mwisho Alocheza Na Woo Bin (Uncontrollably Fond) Kanitoa Chozi Jana Lol!! Nimelia kidogo Jamani Hmmm!!!!!!
Alokuwa Ana Cha Kuangalia Naomba Aitafute Hii Kitu Ndo Kwanza Ina Episode Mbili Tuuh Autajutia Kuwa MkoreaTanzania...
Subuhi Yenye Baraka Na Kwa Wale Wa Ibada Tukutane Masjid...
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7]
Yahh!! Iko Vizuri Sana...Maza Hausi Ajakosea Umu Ndani Yuko Kiweird Sana....Kuna mahali nimepita nimeiona ngoja nifuatilie nimuone maza hausi
Maza hausi yuko vizuri bhana umeangalia Gu Family Book?Yahh!! Iko Vizuri Sana...Maza Hausi Ajakosea Umu Ndani Yuko Kiweird Sana....
samahani sana kumbe kuna kim tae ho na kim tae hoon itanibidi nisipeleke tena taarifa kwa sababu hata madame suzy naye lazima atachepuka na lee jong sukAah sio huyo bhana ni yuleyule bebi wangu sema mimi huwa napenda kutumia jina lake la zamani ndo nalipenda. Ukinisemea utakuwa huna huruma hivi nivumilie miaka miwili kweli??? Wewe unaweza?
Hyo KTU mwnyw nimeipangia leoWanakorea Wezangu Wa Tanzania...Nawaleteeni Mjumlisho Wa Drama Ya While You Were Sleeping,Hii Drama Kiukweli Nilitaka Nieeke Kando Kwa Kuwa Nipo Kwenye Kipindi Cha Mapumziko,Lakini Jana Ilinifanya Kunivuta Kidogo Kwa Kutaka Kujua Yaliyomo Yamo!?
Ni Drama Nzuri Kiukweli japo Inamambo Kama Ya W Aloiyona Hii Drama Atakuwa Amenielewa..Nayo Amecheza Jong Suk Nikajiuliza Uyu Mtu Ndo Mtindo Wake Wakucheza Aina Hii Ya Drama Ama!???
Ina Ubora,Stori Yake So far Inavutia Japo Nimeangalia Episode Moja Tuuh Ya Pili Ndo Nataka Kuiona Tena Ila Kwa Wanasema Nyota Njema Uonekana Asubuhi..
Suzy Wifi Wa Kimataifa Umu Ndani Ni Yupo Tofauti Ukilinganisha Na Drama Yake Ya Mwisho Alocheza Na Woo Bin (Uncontrollably Fond) Kanitoa Chozi Jana Lol!! Nimelia kidogo Jamani Hmmm!!!!!!
Alokuwa Ana Cha Kuangalia Naomba Aitafute Hii Kitu Ndo Kwanza Ina Episode Mbili Tuuh Autajutia Kuwa MkoreaTanzania...
Subuhi Yenye Baraka Na Kwa Wale Wa Ibada Tukutane Masjid...
Hwa gun ndiye character aliyependwa kwny ruler kuliko hata Kim so hyunAlikuwa analialia? Mbona mimi sijaona hilo na kale kabinti mimi nilikuwa sikapendi kenyewe na familia yake yoote kalikuwa kamafia sana kasingefaa kabisa kuwa ka-queen[emoji23] [emoji23] [emoji23]