Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

kwa jinsi inavyoonekana SBS tv wanaionesha episode 4 kwa wiki au dramabeans wamenidanganya?
MR W niliipenda sana ila sijapenda ilivyoishia na kwa kuwa umenisifia iyo drama ya while you are sleeping basi itabidi niitafute
 
Naachaje kuchepuka kwa mfano nimezungukwa na vijana wahendsam kama hivi. Ila haka kaserengeti boy kampango ka kando my Kim Tae Ho ndo dereva[emoji108] [emoji108]
hahahahaaaa umenikumbusha drama ya innocent man uyo kim tae hoon alikuwa anampenda yule mke wa bosi ambaye pia alikuwa ni mchumba wa zamani wa kang maru.ila nimeangalia profile yake ana miaka 42 lakini humu kwenye drama ya Look Out anaonekana ni bado handsome wa nguvu, hongera kwa kuajiri dereva ila taarifa nitazifikisha kwa madame bae suzy kwa kitendo chako cha kushindwa kuvumilia miaka 2 tu.
 
Park Se Young Confirmed To Replace Han Chae Ah In MBC Drama With Jang Hyuk

Actor Jang Hyuk and Park Se-young was cast as the main character of MBC TV new weekend drama 'Money Flower'.
MBC said on the 29th that Jang Hyuk and Park Se-young will play the roles of 'Kang Pil-joo' and 'Na Mo-Hyun' in the 'Money Flower' which is broadcasted in early November following 'good thief bad thief '

It is the story of those who live in the illusion that money is dominating money, but in fact they are dominated by money.
Kang Pil-joo, who is played by Jang Hyuk, is a man from an orphanage to the chief of the Justice Team of the Strategy Planning Department of Cheonga Group. It is a brilliant elite, but it is also criticized as 'the dog of the child'.

Na Mo-Hyun, who is in charge of Park Se-young, is an environmental cryoprene and a middle school science teacher. Dreams of fateful love as a bright and positive character.
Jang Hyuk and Park Se-young have been together as lovers in KBS 2TV 'Beautiful Mind' last year.
Originally, Han Chae Ah was set to play the role of Na Mo Hyun, but she had to step down from the position. Her agency explained, “Filming for the drama was pushed back, and it ended up causing a scheduling conflict. Therefore, Han Chae Ah has unfortunately had to make the decision to leave the project.”

“Money Bouquet” will be story of those who believe they control the money, when in reality, they are being controlled by money and greed. The drama will begin airing in November as the follow-up to “Good Thief, Bad Thief.”

scalethat
 
muongozo kuhusiana na joseon hair style
  1. Eoyeo meori : ni hair style maalum kwa ajili ya wanawake ambao wana mahusiano na royal family inawezekana kwa kuolewa, queen dowager. mwanamke anakuwa na wig sehemu yote ya kichwa.
  2. Cheopji meori :style hii ya nywele ni maalum pia kwa wanawake ambao wana ukaribu mkubwa na royal family hususan wake wa mawaziri pamoja na watumishi wa kike wenye vyeo vya juu.(high ranking court lady)
  3. Tteoguji meori: style hii ya nywele hutumika kwenye sherehe maalum za kifalme na huvaliwa na queens, royal concubines, royal consorts na watumishi wakubwa.
  4. Daesu meori: mara nyingi style hii ya nywele huvaliwa kwenye sherehe za ndoa au sherehe za kupewa cheo cha crown princess au kuapishwa kuwa malkia
  5. Saeng meori: wasichana wadogo kuanzia miaka 9 hadi 14 wanaofanya kazi kwenye royal family huwa na style hii ya nywele
  6. Badukpan meori: ni hair style kwa ajili ya watoto wadogo wenye umri wa miaka 3
  7. Sangtu: ni style maarufu ya nywele kwa ajili ya wanaume hususan wale ambao wanatokea kwenye familia zenye heshima kubwa(noble family) pamoja na wasomi (sscholar) na kikawaida nywele huwa na mfungo maalum na pia huvaliwa manggeon na hutumia pin kwa ajili ya kuzifanya nywele zikae mahala sahihi.
  8. Minsangtu: ni style ya nywele maalum kwa ajili ya masikini kama damushin na wenzake na tofauti kubwa ya minsangtu na sangtu ni kwamba sangtu huvaa manggeon ila minsangtu huwa hawana manggeon.
  9. Ko meori: wanawake ambao ni masikini waliofunga ndoa ndio wanakuwa na style hii maalum ya nywele na hutumia nywele zao za asili na mara nyingi hujifunga kitambaa cheundu.
  10. Ap daenggi: mara nyingi style hii ya nywele huvaliwa wakati wa sherehe za harusi [HASHTAG]#bye[/HASHTAG]
 
Aah sio huyo bhana ni yuleyule bebi wangu sema mimi huwa napenda kutumia jina lake la zamani ndo nalipenda. Ukinisemea utakuwa huna huruma hivi nivumilie miaka miwili kweli??? Wewe unaweza?
 
Woow...our Damushin is the best mi naipenda sana hiyo style ya maids wadogo. Park Shin Hye amecheza historical drama gani?
 
Kuna mahali nimepita nimeiona ngoja nifuatilie nimuone maza hausi
 
Aah sio huyo bhana ni yuleyule bebi wangu sema mimi huwa napenda kutumia jina lake la zamani ndo nalipenda. Ukinisemea utakuwa huna huruma hivi nivumilie miaka miwili kweli??? Wewe unaweza?
samahani sana kumbe kuna kim tae ho na kim tae hoon itanibidi nisipeleke tena taarifa kwa sababu hata madame suzy naye lazima atachepuka na lee jong suk
 
aminas episode ya 37 ya king loves imenitoa machozi wakati crown prince wang won anasoma barua ya wang lim.

Mwana wa mfalme mtukufu kwanza nakuomba unielewe kusudio langu, yote haya nilioyaandika ndani ya barua hii ndio niliyotamani nijadiliane na wewe baadae, nimejaribu kuambatanisha majina ya watu mashuhuri walioshikilia nguvu ndani ya nchi hii ambao wanajifanya kuwa nyuma ya kivuli cha mfalme kumbe wanamdanganya ilimradi wafikie malengo yao.
Kwao wao hawajali ni nani atakayetawala isipokuwa wanachohitaji ni mfalme atakaye fuata amri zao hivyo basi hawahitaji mtu mwenye maarifa kama wewe ndio maana wanakupiga vita na ndio maana wamekuja na hoja ya kwamba wewe una damu ya utawala wa yuan na goryeo.
mfalme anaendelea kuwa hai kwa sababu anafuata kile wanachotaka wao lakini kwa sasa wanataka mfalme mpya hivyo basi wanataka kumuua mfalme na kumweka mfalme mwengine asiyekuwa na nguvu ili wapate kumfanya kama puppet, kadri nitakavyoendelea kuishi wataendelea kunisumbua ili nikugeuke na mimi niwe mfalme jambo ambalo litakufanya uwe dhaifu ila najisikia fahari kwa kuweza kuendelea kuwa nawe karibu na kukulinda.

lakini nampenda msichana ambaye yupo kwenye moyo wako na nashindwa kujizuia kutokumpenda haliyakuwa najua nikosa kubwa kumpenda na nastahili adhabu ya kifo na kwa hili katu sitakuomba msamaha. Ila kama utaniacha hai basi tafadhali naomba uniruhusu niondoke kwenye mji huu na nikaishi mbali sana na maisha yangu yote niishi kama ni mtu aliyekufa.
kwa jambo hili nakuomba kama mtumishi wako, kama rafiki yako na kama ni ndugu yako wang lin
 
Hyo KTU mwnyw nimeipangia leo
 
Alikuwa analialia? Mbona mimi sijaona hilo na kale kabinti mimi nilikuwa sikapendi kenyewe na familia yake yoote kalikuwa kamafia sana kasingefaa kabisa kuwa ka-queen[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hwa gun ndiye character aliyependwa kwny ruler kuliko hata Kim so hyun
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…