Kwanini hawa ma actors wamekuwa wamekuwa wakienda jeshini?muigizaji kim soo hyun leo hii amethibitisha ya kwamba atatumikia shughuli za kijeshi ifikapo mwezi oktober 23 ila hatafanya mkutano maalum kwa ajili ya kuwaaga mashabiki wake.
kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na agent wake (keyeast) ni kwamba kim soo hyun anategemea kurudi uraiani mnamo (July /22/2019)
my fav
Ni sheria ya nchi yao kila aliyezaliwa mwanaume ni lazima atumikie jeshi miaka miwiliKwanini hawa ma actors wamekuwa wamekuwa wakienda jeshini?
Happy birthday to himhappy birthday Song il kook kwa kutimiza miaka 46 siku ya leo na Mungu azidi kukupa baraka na afya njema pamoja na mke wako na watoto wako (daehan,minguk,manse)
1/10/1971 mwanamama kim eul dong alifanya kazi ngumu sana ya kukuleta duniani na alikulea na mpaka leo bado anaendelea kukusimamia maisha yako na kukushauri mambo mbali mbali yanayokuhusu.
hahahahhaaaaa ahsante sana kwa kuligundua ilo suala mimi mwenyewe kichwa kinauma kama sijafahamu kidogo tu narudisha tena nyuma.Loh aminas hii kitu inaitwa when you were sleeping ni fire...ila inataka macho kodo muda wote maana ukipepesa tu kidogo umeachwa
Loh wewe ni shidaa...yote yako sawa na mimi nilivyoelewa ila hapo pa kukutana msibani naona nilisinzia kidogo. Aisee nilivunjika mbavu walivyokuwa wanaomba loh hadi big boss nae anapiga majungu khaa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenichekesha eti kichwa kinauma kama umetoka kufanya interview TRAhahahahhaaaaa ahsante sana kwa kuligundua ilo suala mimi mwenyewe kichwa kinauma kama sijafahamu kidogo tu narudisha tena nyuma.
- kama una njaa hii drama haikufai kuangalia na kama umeshiba pia hutakiwi kuangalia hii drama ya while you were sleeping ni balaa kuliko Mr W
- nimebaki najiuliza ingekuwa vipi kama Mungu angelitupa uwezo binadamu wa kutabiri mambo ya baadae yatakayotokezea.
- nilichojifunza kwenye hii episode ya 4 ni kwamba Jung Jae-Chan(lee jong suk) ambaye ni prosecutor na Jung Seung-Won (high school student) ni ndugu, kwa jinsi inavyoonekana yule mwanajeshi aliyevamia bus na kumuua baba yake Nam Hong-Joo(bae suzy) tukio ambalo aliliona ndotoni likimtokezea baba yake na kumhadithia ila baba alishindwa kuamini kabla hajapanda lile basi alifanya tukio la kumuua police officer na kukimbia.
- Na wakati huo huo kwenye episode ya 1 tulioneshwa baba yake jung chae chun(lee jong suk) akiwa ni officer mkubwa wa police hivyo basi kivyovyote yule mwanajeshi itakuwa alimuua baba yake jung chae chun(lee jong suk) ndipo akakimbilia kwenye basi na ndipo tena akafanya mauaji ya kumuua baba wa Nam hong joo(bae suzy).
- ndipo kwa mara ya kwanza wakiwa watoto jung chae chun na nam hong joo wanakutana kwenye msiba ambao kila mtu kampoteza baba yake na muuaji ni mtu huyo huyo mmoja.
- bae suzy kidogo ameanza kubadilika tofauti na alivyoigiza kwenye uncontrollable fund na gu family book
- lee jong suk anajua kuchagua project, drama zote alizoigiza zimefanya vizuri sana kama vile doctor stranger,i can hear your voice,pinoccio, mr w na hata hii nayo ni fire (kwa maneno ya Khantwe)
- hahahahaaaaaaaa nimecheka sana pale wakati wapo mgahawani na lee jong suk akaulizwa ni mfuasi wa dini ipi na akajibu hana dini basi kila aliyesoma dua ya kula alikuwa anampiga majungu lee jong suk
- kama nimekosea noona nirekebishe inawezekana umeelewa zaidi kwa sababu hapa nilipo ndio nimemalizia episode ya 4 ila kichwa kinauma kama nimetoka kufanya Interview ya TRA.
[Current Drama 2017] While You Were Sleeping 당신이 잠든 사이에 - Wed & Thurs | SBS 10 PM KST
omo omo jaribu kukumbuka kwa kuangalia iyo picha ya wakiwa watoto lee jong suk amempa mpira bae suzy, lee jong suk alikuwa anatoka kwenye msiba wa baba yake na bae suzy alikimbia na kujificha kwa kutokutaka kufuatilia msiba wa baba yake.Loh wewe ni shidaa...yote yako sawa na mimi nilivyoelewa ila hapo pa kukutana msibani naona nilisinzia kidogo.
Duh! mi nilidhani sheria hiyo kwa wale ndugu zao tu NK.Ni sheria ya nchi yao kila aliyezaliwa mwanaume ni lazima atumikie jeshi miaka miwili
Okeeey kwa hiyo 2016 baba yake Prosecutor alikuwa marehemu tayari, sasa hivi ndo umenifumbua macho. Hicho kisehemu cha kupeana mpira nimekiona...daah hawa watu bhana hawajui kuangalia movie starehe mtu unaangalia movie utadhani unabalance formula bwanaomo omo jaribu kukumbuka kwa kuangalia iyo picha ya wakiwa watoto lee jong suk amempa mpira bae suzy, lee jong suk alikuwa anatoka kwenye msiba wa baba yake na bae suzy alikimbia na kujificha kwa kutokutaka kufuatilia msiba wa baba yake.
hahahahaha sitanii naongea ukweli,umenichekesha eti kichwa kinauma kama umetoka kufanya interview TRA
au wewe unahisi kwanini lee jong suk alikwenda mazikoni? sidhani kama alikwenda kwenye msiba ambao haumuhusu itakuwa baba yake ndio amefariki ila ngoja tuone episode ya 5 itakuwaje.Okeeey kwa hiyo 2016 baba yake Prosecutor alikuwa marehemu tayari, sasa hivi ndo umenifumbua macho. Hicho kisehemu cha kupeana mpira nimekiona...daah hawa watu bhana hawajui kuangalia movie starehe mtu unaangalia movie utadhani unabalance formula bwana
Secret mission ni tishio Kama hujaona tafutaKama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]na kweli ukijifanya mtabiri aisee unaumbuka hivihivi umenikumbusha mimi pale niliwaza kwamba hapo hatadondoka atadakwa na katika hiyohiyo prosecution atamsaidia kushinda ile kesi mama weee kilichonipata siri yanguhahahahaha sitanii naongea ukweli,
- hebu jaribu kukumbuka jinsi ilivyomaliza ile episode waliokwenda dating siku ya wapendanao na wakapata ajali kama sikosei ilikuwa episode ya pili,tuliona ile ajali iliua mtu na pia bae suzy alipelekwa hospital na akapoteza fahamu kwa miezi zaidi ya 3 na ikambidi mama yake afanye kazi ngumu ili apate pesa ya kumtibu mwanawe na akauza nyumba na mgahawa hadi mwisho wa siku alifariki na tuliona alimuanduikia hadi barua na pia lee jong suk alimfanyia mahojiano kuhusiana na yeye kuendesha gari na kuua na kupelekea suzy akaamua kujitupa kwenye ghorofa.
- cha kushangaza kumbe lile tukio lilikuwa ni ndoto anaota lee jong suk, sasa kilichotokea lile tukio lilitokea kweli lakini lee jong suk alitumia nguvu zake kuhakikisha ile ajali itakayotokezea haiui mtu na wala haimuweki bae suzy akiwa katika hali ya coma na wala haimfanyi mama yake kuuza nyumba na wala mama yake hafariki. mimi mwenyewe niliduwaa nikaona hii drama ukijifanya mtabiri itakuumbua hadharani
Daah yaani mi nilidhani labda pale walikutana tu kila mtu na ishu zakeau wewe unahisi kwanini lee jong suk alikwenda mazikoni? sidhani kama alikwenda kwenye msiba ambao haumuhusu itakuwa baba yake ndio amefariki ila ngoja tuone episode ya 5 itakuwaje.