Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahaha Wewe Tunakujua Michezo Siyo, Unacheza Sana Rough Kwaiyo Hatuna Jinsi Japo Tunajitahidi Mi Na Khantwe Wangu Apa Kulistopisha Ilo Tukio...

Ila Khantwe Ujuee Tayari Nishakuzimikia (In Suzy Voice) Kwa IYO Usifanye Kama Ahuoni...
Kwendaa unakumbuka first day nimehamia hapo mtaani kwenu ulivyojishaua? Unatishia kufa wakati kuzimia huwezi[emoji57]
 
Hahahahahaha!! Nilikuwa Sitaki Kuharibu Sheria yangu ya Kuanza Kujipendekeza kwa Boy,Ndomana Nikakutolea Nje Hila Aimaanisha Kuwa Sina Moyo Nawewe Pleez Khantwe Nielewee,Hahahahahha
Ngoja kwanza nikomae na yule mwanamaombi wa kule kazini anayenipotezea kama hanijui[emoji23]
 
Ngoja kwanza nikomae na yule mwanamaombi wa kule kazini anayenipotezea kama hanijui[emoji23]
Hahahahahhahahha, Duuuhhh Yule Nae Nomaa,Pale restaurant Mwenzie Anamuita Kamkaushia Kimyaa Daahhh! Nilicheka Palee

NB;Yule Hakufahii Ni Bora Ujisogeze Kwangu Sababu Wote Tuko na Matukio yanayoshabihana.
 
daebak inamaaana the weird one na bad guy kuanza tu kwa episode wao walishakuwa ni couples.....mhhhhhhhhh huyu muandishi amenifanya kwa mara ya kwanza niangalie drama haliyakuwa nishamjua bad guy and good guy.
 
Yah Tayari Wanadate, Ila Bad guy Kaamua Kumkosa Weird, Hahahahahahah Kila Nikikumbuka Ile Scene Ya Kuachana Nacheka Kweli Yaani...

Suzy Ni Bae..
 
κ°μ‚¬ν•©λ‹ˆλ‹€ (Gamsahamnida)

Hivyo asante kwa kunikosoa kuwa ni "G" na si "K" ila na mie nimekuweka sawa hapo kidogo kuwa sio "..habnida" bali ni "..hamnida".
 
κ°μ‚¬ν•©λ‹ˆλ‹€ (Gamsahamnida)

Hivyo asante kwa kunikosoa kuwa ni "G" na si "K" ila na mie nimekuweka sawa hapo kidogo kuwa sio "..habnida" bali ni "..hamnida".
Bado yupo sawa tu katk matamshi yaan neno "...mni..." waweza tamka "...mdi/mpi...". Iila kimaandishi huwa...γ…λ‹ˆ..
Mfano mwaengine neno seom 섬 huwa linatamkwa seop kama lipo katkati ya neno.
Nilivyoelewa mm hvyo. Naruhusu kunikosoa.
그럼
 
Mkuu herufi hii γ…‚ ambayo ni sawa na b/p,ikiwa mwanzo ndiyo inatamwa kama "b" ila ikiwa mwisho hutamkwa kama "p".

Sasa hapa ν•© hiyo γ…‚ hapo chini inatambulika kama "p" na si "b" hivyo bora angeandika "gamsahapnida" maana ndiyo ilivyoandikwa japo sivyo inavyotakiwa kutamkwa.

Kama nimekosea niweke sawa mkuu lugha ya watu hii.
 
Hahahaha upo sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…