Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahaha Wewe Tunakujua Michezo Siyo, Unacheza Sana Rough Kwaiyo Hatuna Jinsi Japo Tunajitahidi Mi Na Khantwe Wangu Apa Kulistopisha Ilo Tukio...

Ila Khantwe Ujuee Tayari Nishakuzimikia (In Suzy Voice) Kwa IYO Usifanye Kama Ahuoni...
Kwendaa unakumbuka first day nimehamia hapo mtaani kwenu ulivyojishaua? Unatishia kufa wakati kuzimia huwezi[emoji57]
 
Hahahahahaha!! Nilikuwa Sitaki Kuharibu Sheria yangu ya Kuanza Kujipendekeza kwa Boy,Ndomana Nikakutolea Nje Hila Aimaanisha Kuwa Sina Moyo Nawewe Pleez Khantwe Nielewee,Hahahahahha
Ngoja kwanza nikomae na yule mwanamaombi wa kule kazini anayenipotezea kama hanijui[emoji23]
 
Ngoja kwanza nikomae na yule mwanamaombi wa kule kazini anayenipotezea kama hanijui[emoji23]
Hahahahahhahahha, Duuuhhh Yule Nae Nomaa,Pale restaurant Mwenzie Anamuita Kamkaushia Kimyaa Daahhh! Nilicheka Palee

NB;Yule Hakufahii Ni Bora Ujisogeze Kwangu Sababu Wote Tuko na Matukio yanayoshabihana.
 
Mama Yake Anamuuliza''Is He Handsome?'' Anamjibu''Why Does That Even Matter? I have a Boyfriend, You Know"

Mama Yake Anamjibu''Hey,You've Only Seen Him Twice since the Blind Date,Will you marry Him The Next Time You see Him?''
Nilikipenda Sana Ichi Kipande Mpaka Pale Wanamchungulia Jong Suk Anavyoamia Laahh!!!
daebak inamaaana the weird one na bad guy kuanza tu kwa episode wao walishakuwa ni couples.....mhhhhhhhhh huyu muandishi amenifanya kwa mara ya kwanza niangalie drama haliyakuwa nishamjua bad guy and good guy.
 
Yah Tayari Wanadate, Ila Bad guy Kaamua Kumkosa Weird, Hahahahahahah Kila Nikikumbuka Ile Scene Ya Kuachana Nacheka Kweli Yaani...

Suzy Ni Bae..
 
Tz mbongo Wewe unataka kuleta ubishi wa bure usiokuwa na kichwa wala miguu ... kwamba watu wengi unasikia wanaandika hivyo ukafikiri ndio official! .. siyo.

Quite often the "g" that you see is really pronounced more like a "k". The government's "official" system is quite a bad representation of the way Korean truly sounds but it is the one you will be seeing most often.

Suala la msingi is a letter &[HASHTAG]#4352[/HASHTAG]; ambayo ni G ila utasikia kama inatamkwa soft k.

how would i now if &[HASHTAG]#4352[/HASHTAG]; is used as k or g?

g or k

&[HASHTAG]#12593[/HASHTAG]; is normally more of a 'k' sound when it is at the beginning of a word and more of a 'g' in the middle of the word.

Be careful not to make too much of a 'k' sound though, because you might get confused with &[HASHTAG]#12619[/HASHTAG];, which is the soft 'k' sound. I hope I haven't confused you!

the letter &[HASHTAG]#12593[/HASHTAG]; G/K , how can i know when should i pronounce it G or K ? And does matter if i said kwangjang instead of gwangjang ?

In the word &[HASHTAG]#44032[/HASHTAG];&[HASHTAG]#49464[/HASHTAG];&[HASHTAG]#50836[/HASHTAG]; "go" , why do they pronounce the letter G (&[HASHTAG]#12593[/HASHTAG]😉 like a "k" while there is another K letter in hangul (&[HASHTAG]#12619[/HASHTAG]😉 ?? actually &[HASHTAG]#12593[/HASHTAG]; sounds a little different from the both g or k. easily u can think of &[HASHTAG]#12593[/HASHTAG]; as the middle of the g and k. but it sounds closer to k when it comes to the begining of the word like &[HASHTAG]#44305[/HASHTAG];&[HASHTAG]#51109[/HASHTAG];.

So still still bado nipo pale pale ... officially ni Gamsahabnida na wala siyo Kamsahamnida

감사합니다 (Gamsahamnida)

Hivyo asante kwa kunikosoa kuwa ni "G" na si "K" ila na mie nimekuweka sawa hapo kidogo kuwa sio "..habnida" bali ni "..hamnida".
 
감사합니다 (Gamsahamnida)

Hivyo asante kwa kunikosoa kuwa ni "G" na si "K" ila na mie nimekuweka sawa hapo kidogo kuwa sio "..habnida" bali ni "..hamnida".
Bado yupo sawa tu katk matamshi yaan neno "...mni..." waweza tamka "...mdi/mpi...". Iila kimaandishi huwa...ㅁ니..
Mfano mwaengine neno seom 섬 huwa linatamkwa seop kama lipo katkati ya neno.
Nilivyoelewa mm hvyo. Naruhusu kunikosoa.
그럼
 
Mkuu herufi hii ㅂ ambayo ni sawa na b/p,ikiwa mwanzo ndiyo inatamwa kama "b" ila ikiwa mwisho hutamkwa kama "p".

Sasa hapa 합 hiyo ㅂ hapo chini inatambulika kama "p" na si "b" hivyo bora angeandika "gamsahapnida" maana ndiyo ilivyoandikwa japo sivyo inavyotakiwa kutamkwa.

Kama nimekosea niweke sawa mkuu lugha ya watu hii.
 
Hahahaha upo sawa kabisa
 
DLRkW3GUEAEH530.jpg

Khantwe Tukutane Mishale Dear...Leo Ni Mimi Na Wewe Tuuh
 
Back
Top Bottom