Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

leo ni uzinduzi kwa kitaifa nchini korea baadae ndipo nahisi itaanza kupatikana mitandaoni.
Nitajie jina la drama yenye kuzungumzia vita kati ya Japan na Mongolia empire wakiwa kolabo na goryeo. Nimeisoma tu historia take huko wikipedia, ningelipenda nitazame na drama
 
jamani mbona naona huyu lee sang yeob (lee yoo beom) na jung hae in (han woo tak) wamefanana au mimacho yangu ishachoka kuangalia korean drama.

 
Kujishaua Kote Hii Episode Mpka Muda Huu Bado Sijaiangalia....Unaweza Nipa Recap Yake Puleeeeez Oppa..
omo omo umenipa kazi ngumu sana ila
  1. episode ya 6 ndio utapata kuona mauaji ya baba yake jae chun kwenye super market
  2. kim so hyun na mama yake kuhamia kwao bae suzy
  3. jae chun anaamua kufanya uchunguzi upya wa kesi ila anakumbana na vikwazo kutoka kwa bosi wake na bad guy
  4. 3 flyng dragons wote wamezaliwa 1988
  5. yoo bom anafahamu niwapi kim so hyun na mama yake wanaishi
  6. wakiwa kwenye mgahawa wao suzi, Woo-tak anabaki kujiuliza kama ile ndoto aliyoiota itatokezea kweli, kwenye ndoto aliota atakuja kwenye mgahawa akiwa na rafiki yake ambaye ni polici ila kwenye tukio ni tofauti, pia aliota atakutana na jae chan njiani akiwa na rafiki ila kwenye tukio rafiki yake hakuwepo
  7. lakini mwisho wa siku aliota yoo bum atatembelea mgahawa wa kina hong jun ili apate kuzungumza na kim so hyun na mama yake tukio ambalo limekuja kutokea kweli
 
Hahaha atajua mwenyewe...wa kwake akiwa ndani akitoka nje wa sisi wote[emoji125] [emoji125]
hahahaaaaa nakushauri kwanza itafute movie inayoitwa the forbidden kingdom amecheza yeye pamoja na jet li, jackie chan upate kuona balaa lake anatwanga balaa tofauti na bae suzy.
kikubwa nitakachokifanya ni kuwaambia waandishi wa khabari waandike kichwa cha habari kizuri.
apigwa na mchina kwa kuchukua bae wa watu (kwa sauti ya aminas)
 
Hahaha lol usintisheee sibanduki ng'oo
 
Hahahahahah, Mi Naomba Nikawe Shuhuda Ili Taarifa Zifike Kwa Haraka, Ila Usijari Khantwe Nitakuwa Pembeni Yako Nikijaribu Kukusaidia Kumchukue Uyu Bae Mpya

Ila Nawe Unao Wengi, Min Hoo Mshaachana Ama?? Na Yule Cha Kucheka Na Yule Nani Sijuh Damushin Saidia Apa Maana Mi Nishawasahu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…