Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

 
inahusu nini?

Mm nmecheki movie za kikorea hata 20 zimefika lakini naomba kutoa heshima kwa movie moja tu inaitwa THE QUEEN OF AMBITIOUS.Hii movie ina mafunzo mpaka kwenye maisha yetu halisi tunayoishi.Kila part ina mafunzo.iko poa sana
 
niadithieni faith episode ya mwisho kabisaa mwishoni je mlango wa heaven ulifunguka na yule dada alifanikiwa kurudi heaven?
 
Demu alirudi kwao lakin baadae akawa anamuwaza san choi young ikabidi arudi tena kwa kina choi young, ile kurudi tu akashangaa kumebadilika san na pia akawakut wale jamaa zake wa choi young ambao walikuwepo kweny kikosi cha hudanchi wamekuwa mageneral wakubwa sana
 
Walivyomuon wakafrah san, ikabidi awaulize tok aondoke ni muda gani wakamwambia ni mwaka umepita na walipigan vita na watu wa taifa ya yuni wakashind kwa iyo kw sasa kuna falme moja tu ambayo ndio geogolio
 
Last edited:

Mkuu unazo bado?? Nimeangalia jumong nimejikuta nazipenda. Kama unazo msaada tutani mkuu
 
Hii ni kwa wadau na mashabiki wa tamthilia za kikorea!
Kwa mimi top 5 zangu ni jumong, land of wind, great queen seondoek( kuna jamaa alikuwa anaitwa munno, ni nomaaa), slave hunter na warrior baek dong soo!
Tiririka na zakwako mdau!
 
Jumong..... Land of the wind..... Empoeror of the sea..... Ijimae.... Ma favorite artist ni song ii gook nitamkubaliii mpakaa kesho
Emperor of the sea tatizo mwisho wake sio mzuri, sikupenda jang bogo, na wenzake akiwemo master mo Chang walivyokufa!
Bad ended!
 
Kuna moja inaitwa king gwangaeto, aisee ni full mishe mishe!
Mshikaji aliecheza ktk jumung kwa jina la mugol, humo kafunika mbaaya kwa action!
 
Kuna Hii mpya inayoendelea inaitwa six flying dragons ni shida inaonyesha historia ya kuanguka kwa dynasty ya gogreyo na kuibuka kwa dynasty mpya ya joseon baada general kufanya uasi na kuanzisha dynasty yake ya joseon.
 
Dongyi
Six flying dragons
City hunter
Secret door
Hwuajung
King face
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…