Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mie kingdoms of the winds na Gu family book nazipenda to the moon and back.. To be honest zimeniliza sana .. Zipo very emotional
 
Warrior baek dong soo. Tree with deep roots
Emperor of the sea
Queen seon deok
Athena
Iris
Giant
Empress ki
Faith
 
mkuu kabla hujapost uzi ebu jipe muda wa kusearch icho unachotaka kupost ili kujiridhisha kama hiyo topic haijajadiliwa humu!nyuzi za hivi zimo nyingi sana humu,tena kuna moja ni sticky kabisa ipo hapo juu,fungua hapo watu wamejadili kwa kina sanaa kuhusu izo drama za korea,fungua hapo ili ujiridhishe wadau wenzako wanapenda zipi...tumechoka hizi repetition ungekuja na kitu kipya walau basi,Moderator naomba umerge hii thread na iyo sticky hapo juu!Ahsante
 
jumong,city hunter,iris,slave hunter,tree with deep root, poisedon,gu family book
 
Kuna Hii mpya inayoendelea inaitwa six flying dragons ni shida inaonyesha historia ya kuanguka kwa dynasty ya gogreyo na kuibuka kwa dynasty mpya ya joseon baada general kufanya uasi na kuanzisha dynasty yake ya joseon.
Hapana Sio Kuanguka Kwa Goguryeo Ni Kuanguka Kwa Koryo/Iliyoanzishwa Na Wang Guhn... Koryo Pamoja Na Balhae Walikua Wakijiita Kama Warithi Wa My Beloved Goguryeo.
 
Emperor of the sea tatizo mwisho wake sio mzuri, sikupenda jang bogo, na wenzake akiwemo master mo Chang walivyokufa!
Bad ended!
Ndo Stori Ilivyotakiwa Iwe Koz Historically Jang Bogo Pia Aliuawa.
Sio Hiyo Tu Angalia Nyingine Inaitwa King Geunchogo Nayo Mwisho Wa Siku Anakufa.
 
Kuna moja inaitwa king gwangaeto, aisee ni full mishe mishe!
Mshikaji aliecheza ktk jumung kwa jina la mugol, humo kafunika mbaaya kwa action!
Gwangaeto Alikua Mtu Hatari, Ndie Aliyeipanua Goguryeo Na Kuwa Kubwa Na Imara Zaidi Ya Kingdom Nyingine Za Kikorea, Kipindi Chake Baekje, Silla, Japan, Mohe, Malgal, Khitan Wote Aliwaweka Chini Yaje Na Pia Alishida Vita Nyingi Dhidi Ya Chinese Sui. Na Ni Mmoja Kati Ya Wafalme Wa3 Wa Kikorea Ambao Walipewa Jina La Great King "DAEWANG" Pamoja Na Great King Sejong Wa Joseon Huyo Mwingine Ninemsahau.
Nimewakumbuka Sana Kina Sagal Hyeon, Dol Bisu, Yeo Sseokgae, Ha Muji, Ko Un, Fengba, Murong Un, Murong Xi, Murong Ba, Damju, Dandan, Ko Mu, Ko Nosa, King Asin, Buyeong, Mu Gol.
Ile Iko Vizuri Ila Nakushauri Uangalie DAE JOYOUNG Nayo Tamu Sana.
 
Salute kwako mkuu, ila fengba na murong ba nao walikuwa very strategy ila walifeli kila muda!
 
Gwangaeto Alikua Mtu Hatari, Ndie Aliyeipanua Goguryeo Na Kuwa Kubwa Na Imara Zaidi Ya Kingdom Nyingine Za Kikorea, Kipindi Chake Baekje, Silla, Japan, Mohe, Malgal, Khitan Wote Aliwaweka Chini Yaje Na Pia Alishida Vita Nyingi Dhidi Ya Chinese Sui. Na Ni Mmoja Kati Ya Wafalme Wa3 Wa Kikorea Ambao Walipewa Jina La Great King "DAEWANG" Pamoja Na Great King Sejong Wa Joseon Huyo Mwingine Ninemsahau.
Nimewakumbuka Sana Kina Sagal Hyeon, Dol Bisu, Yeo Sseokgae, Ha Muji, Ko Un, Fengba, Murong Un, Murong Xi, Murong Ba, Damju, Dandan, Ko Mu, Ko Nosa, King Asin, Buyeong, Mu Gol.
Ile Iko Vizuri Ila Nakushauri Uangalie DAE JOYOUNG Nayo Tamu Sana.
Duuuhh uko vzuri salute kwako kutaja majina yote haya inabidi tukupeleke Korea
 
Ni kweli unakumbuka hata ktk emperor of the sea?
Yeah Kwenye Kingdom Of Wind Anakufa Mapema Tu.
Pia Kwenye Dae Jo Young Yupo Ila Yeye Anafaa Akicheza Kama Villain Tu Au Wale MaBaddest.
 
Ila nimechek drama nyingi ila King gwangaeto huu moto mwingine!
 
Yeah Kwenye Kingdom Of Wind Anakufa Mapema Tu.
Pia Kwenye Dae Jo Young Yupo Ila Yeye Anafaa Akicheza Kama Villain Tu Au Wale MaBaddest.
Anafaa kucheza villain! Ila yule jamaa mugol nae alifunika kwa action balaa!
 
Back
Top Bottom